Ni kweli kuna dawa za biashara?

Kwa maana hiyo kama haya yote ni mali ya bwana?? Then hata hao vijana walozi na wanamiliki pesa ndefu nao ni wa MUNGU,, sasa si watuibie lonja asee,, kwa kweli mambo yanazingua
 
Chagueni hivi leo ni nani mtakae mtumikia? Fanya utafiti wa kutosha kuhusu biashara yako, usiwe mwepesi kukata tamaa, Mwombe muumba wako, utafanikiwa
 
Chagueni hivi leo ni nani mtakae mtumikia?
Fanya utafiti wa kutosha kuhusu biashara yako, usiwe mwepesi kukata tamaa, Mwombe muumba wako, utafanikiwa
Pablo escobar chose to be a maniac and helped his village,, a difference between what you want and what u like
 
P
unamshauri au
Part ya juu nilikuwa namwonyesha mambo ya kuotea tu, ambayo hayana mantiki.
Part ya chini namuuliza kama anafanya approach simple za kumpa mwanga wa kufanya biashara kwa ufanisi katika njia ambazo zina njia(means) na mwisho/matokeo(ends).
Aachane na mishe za technology za kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…