Einsten
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 921
- 795
Uendelee mpaka Makambako, Mbeya, Chunya (makongolosi) alaf umalizie na TundumaThread nzuri sanaaa.
Imani za kishirikina zipo.
Tembelea Mafinga uone vijana wadogo wafanyabiashara wanamiliki pesa kuliko umri wao ila NI WALOZI BALAA.
Mshana Jr ataongezea.
#YNWA