Ni kweli kuna Limbwata au ni vitisho tu?

Ni kweli kuna Limbwata au ni vitisho tu?

Mimi hapa nikirudi nyumbani saa 12 jioni... Anabweka eti hooo mbona umerudi nyumbani usiku hivi.
 
Waganga wanaotumia kingamuzi hatuwaamini. Sisi tume bezi na hawa wa matunguli na ungo.
Mganga gani unafika kwake anakuomba umwashie hotspot?
😂😂😂😂 We mbona una gubu ebu tulia nihudumie watu wenye shida
 
Hii ni kwa wanaume wote, tukae mguu sawa.

Je, hii kitu inaitwa limbwata ipo kweli ama ni mental cases tu zinasumbua watu? Kama lipo la mkoa gani ndo kali?
Unadhani kama ipo tunachomoanaje humo?

Maisha ni kusaidiana, tupeni ushuhuda na uzoefu. Wanawake pia tunawakaribisha.
Kwenye jina lako hilo n iweke nyuma ya g halafu ufute k u d na a ya mwisho. Ukipewa hiyo basi umerogwa kabisa na mkeo
 
😂😂😂😂 We mbona una gubu ebu tulia nihudumie watu wenye shida
Nipe basi kazi ya kupokea simu za wateja, nina diploma ya maketingi nilisoma na kina nandy。
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kuna la kikinga pesa na miradi yote unamkabidhi mkeo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanda ya juu kusini tuko [emoji91][emoji91]

Nilijaribu kumfanyia ex angu m1, nyie bila kumuonea huruma yukee Kaka alikua anapoteaaa, nkamfungulia aendelee na life lake.

Naomba nisamehewee kwa hili. Woiiiiih
 
Mwanaume mmoja anarogwa na wanawake 10 lazima upagawe [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna moja hilo ndo konki, wanawake km mahusiano yako hayaeleweki, mwanaume hakupi pesa nione chap uchawi unao mwenyewe.!! Na km unataka kulipa kisasi kwa ex afirisike njoo haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakujaaa
 
Mwanaume mmoja anarogwa na wanawake 10 lazima upagawe 😂😂😂

Kuna moja hilo ndo konki, wanawake km mahusiano yako hayaeleweki, mwanaume hakupi pesa nione chap uchawi unao mwenyewe.!! Na km unataka kulipa kisasi kwa ex afirisike njoo haraka.
Wewe ni ka dalali dalali, harakat zako mkuu.
 
Hii ni kwa wanaume wote, tukae mguu sawa.

Je, hii kitu inaitwa limbwata ipo kweli ama ni mental cases tu zinasumbua watu? Kama lipo la mkoa gani ndo kali?
Unadhani kama ipo tunachomoanaje humo?

Maisha ni kusaidiana, tupeni ushuhuda na uzoefu. Wanawake pia tunawakaribisha.
Ngoja simu ifike kwa mamaYeyoo, anifanyie hio kitu mnaita Lipwata.
 
Hii ni kwa wanaume wote, tukae mguu sawa.

Je, hii kitu inaitwa limbwata ipo kweli ama ni mental cases tu zinasumbua watu? Kama lipo la mkoa gani ndo kali?
Unadhani kama ipo tunachomoanaje humo?

Maisha ni kusaidiana, tupeni ushuhuda na uzoefu. Wanawake pia tunawakaribisha.
Lipo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanda ya juu kusini tuko [emoji91][emoji91]

Nilijaribu kumfanyia ex angu m1, nyie bila kumuonea huruma yukee Kaka alikua anapoteaaa, nkamfungulia aendelee na life lake.

Naomba nisamehewee kwa hili. Woiiiiih
😂😂😂 wasituchukulie pouwa
Halafu unapewa maelekezo dawa unafanya mwenyewe, utaona kimtu kinavyoweweseka!!
Kumtoa mpaka umchoke wewe!! Ila la maokoto ndo muhimu, wadada mje msione aibu. Ex kakuacha bado unampenda dawa ipo, wabahili dawa ipo, na wale wa kisasi dawa ipo. Usipofanikiwa narudisha pesa yako 🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wasituchukulie pouwa
Halafu unapewa maelekezo dawa unafanya mwenyewe, utaona kimtu kinavyoweweseka!!
Kumtoa mpaka umchoke wewe!! Ila la maokoto ndo muhimu, wadada mje msione aibu. Ex kakuacha bado unampenda dawa ipo, wabahili dawa ipo, na wale wa kisasi dawa ipo. Usipofanikiwa narudisha pesa yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu yule Kaka nimemcheleweshea maisha yake, anisamehe kwa kweli.

Yaan nikimtazama sahivi, nabaki kujisemea, mie sio nitachomwa moto, ila ntakua kuni enyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walete uduguu niwape tiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiona mtu analia lia kwenye mahusiano namuona boya, mie Amani ikikosekana naweka ulinzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu yule Kaka nimemcheleweshea maisha yake, anisamehe kwa kweli.

Yaan nikimtazama sahivi, nabaki kujisemea, mie sio nitachomwa moto, ila ntakua kuni enyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 uduguu una dhambi sana.!!
Unashangaa watu wanajiuliza “kwani yule kaka kampendea nini yule dada?” Kumbe kavutwa kwa darubini, katumbukizwa kwenye …….!!! Acha kabisaaaaa!!

Ila limbwata aliyefanyiwa wala hajioni, anawashangaa nyie mnaomshangaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiona mtu analia lia kwenye mahusiano namuona boya, mie Amani ikikosekana naweka ulinzi.
😂😂😂😂 tusiongee sana wataiba codes zetu, wakitaka waje na pesa tuwape dawa.
Na uzuri wa hiyo dawa tukiwapa nao wanauza kwa wengine, yani wachawi tunazidi kuongezeka 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Limbwata lipo sana, huko KAGERA liliibuka Limbwata aina ya SHUNTAMA, acha kabisa wanaume waligeuzwa kama mazuzu , hii kitu ilileta shida miaka hiyo ya 90 mpaka 2000, ilibidi mpaka mapadre na viongozi wa dini waingilie kati na kuhubiri hilo janga makanisani mpaka likatoweka! Nasikia wamama walikuwa wanavizia maji yaliyooshewa na maiti halafu wanafanyia hiyo limbwata basi mwanaume anakuwa hajitambui Kwa mkewe kama maiti!
Kuna mshikaji wangu alipigwa limbwata na mwanamke wa kigoma Mmanyema , daah ofisi nzima ilijua kwamba mwenzetu kakamatika, alikuwa anafua, anapiga deki anachuma kisamvu , siku tukimfuata TWENDE nae viwanja anaweza kupiga hatua kadhaa kuondoka mwanamke akimuuita tu jina jamaa ataghairi safari na kuomba arudi home fasta , Kuna siku tulifanikiwa kumnunulia pombe alipokaliza kunywa alitafuta mapipi na vitu vya kukata harufu ya bia Ili mke asigundue mshikaji kanywa , Yaani mambo yalikuwa mengi , hatukuwa na la kufanya kumnsuru mshikaji ilibidi tumtafute mama yake MZAZI aje amnusuru mwanae, baada ya kunusurika jamaa aliokoka akawa mlokole kabisa,
 
Back
Top Bottom