The first born, nadhani kila mtu ana tafsiri yake ya wife material, lakini mimi kwa mchango wangu katika hii mada nakwenda na hii hadithi hapo chini.
The Prophet (ﷺ) said, "A woman is married for four things: for her wealth, for her lineage, for her beauty or for her piety. Select the pious, may you be blessed!".
Mke mwenye hofu ya Mungu mara nyingi huwa wife material, lakini pia hata mume awe mwenye hofu ya Mungu, na hofuya Mungu haijalishi imani yako, wasiyokuwa na dini hao wanaweza kuchagua mke kwa utajiri wake au nasaba yake au uzuri wake.