Ni kweli kuna mwanamke anayefaa kuwa mke wa mtu yeyote(Wife Material)?

Umeleta kitu hapa Wife Material ni tabia na hakuna mtu hapendi tabia nzuri[emoji110]
 
Msikivu
Mwenye upendo
Director/Manager mzuri wa familia
Mwemye Hofu ya Mungu
Ewaaaah very good Ila umesahau hivi mkuu
Mwenye hofu ya Mungu
Muaminifu
Mwenye utu
Asiyejisikia na kuona wote tuko kwenye one level ya maisha
 
Mawazo mazuri mkuu..Hofu ya Mungu kitu Mhimu hata kama mwanaume utakua mhuni vipi hili lakuzingatia sana.
 
Ewaaaah very good Ila umesahau hivi mkuu
Mwenye hofu ya Mungu
Muaminifu
Mwenye utu
Asiyejisikia na kuona wote tuko kwenye one level ya maisha
Mwenye hofu ya Mungu mbona nmeandika.

Utu ipo ndani ya Upendo maana bila upendo hamna utu.
Level ya maisha iweke ndani ya Director na manager mzuri
 
Ifikie hatua hili Jukwaa liitwe La Mahusiano Plus Intelligent[emoji119]
 
Mapenzi, mapenzi, mapenzi, kwan hakuna mambo mengine? Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Messi is playing against Real Madrid first time ever without Barca!!!
 
Hao wife material wapo shida ni kuwa waoaji ndio tunaweka vigezo vya malaika unasahau kuwa unaenda kuoa binadamu mwenzio.
 
Kwani swala la Wife Material na Uzuri tuna Include Mkuu?

Nimetolea mfano kwenye uzuri ili upate concept ya wife material

Kwenye uzuri kuna vitu tunaangalia hivyohivyo kwenye wife material kuna vitu tunaangalia.

Ht km mwanamke sio type yako ile kuna standards Za wife material zinajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…