Jack Wabukoba
Member
- Dec 11, 2014
- 11
- 9
Anaipata benkHi ndugu,
Naambiwa sana na kusoma simulizi kuwa mganga wa kienyeji anaweza kumuwezesha mtu kupata utajiri. Utajiri tena wa pesa taslimu (CASH) noti tupu. Kwamba unaenda kwa mganga na ukitoka tayari unazo, unatoka na maburungutu ya kutosha kwenye mfuko (begi).
NAOMBA anayejua anijuze kwamba JE, HII HABARI NI YA KWELI? Na huyo mganga huipata wapi hiyo cash anayokupa mfano 250M?
Umeishi duniani miaka 45 lakini maisha yako ni kuungaunga mpaka leo....nyumba za ibada huendi.hutoi sadaka na wala hujishughulishi kufanya jambo lolote la kumpendeza mungu...ukifa unahisi utakwenda wapi peponi au motoni?😁😁Pesa hizo za mabulungutu utazipata kwa waganga kwa sababu wanatumia nguvu za Giza. Lakini ujue kuwa pesa hizo huzipati kirahisi hivo. Lazima utalipa kwa gharama kubwa Sana.
Kama unataka pesa hizo, jiandae kwa matokeo haya . 1.kupata kidonda kisichopona (donda ndugu). 2. Kufa ghafla kwa Mzazi wako , Baba au Mama. 3. Kufa ghafla kwa mmoja wapo wa watoto wako unayempenda sana. 3. Jiandae kwenda motoni baada ya kifo chako kwa sababu Mungu muumba hapendi watu wategemee watu bali wamtegemee yeye Mungu , maana yake ni machukizo mbele za Mungu.
" Kalaga bahho ".
Hii kitu haifiki mwisho japo hatar asee, imeishia katikati. Hauna link nyingine inayoweza kunipa story hyo A-Z?Kuna story huku ya Lwanda Magere itafute.
Hii hapa
Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu
Habarini za kutwa wanajamvi ,bila shaka wote mko bìèn!. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ninayo mikasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na kuifanya kwa mikono yangu mwenyewe,mkasa wa kwanza ulituhusu mimi na ndugu zangu ambapo wakati huo nikiwa nina miaka 14 - 15 mwaka 2000 -...www.jamiiforums.com
Nitext PM maelekezo na mawasiliano.Ndio zipo. Njoo nikupeleke kwa mganga wangu
Huku mwisho si aliweka namna ya kuweza kuendelea kumpata? Fata maelekezoHii kitu haifiki mwisho japo hatar asee, imeishia katikati. Hauna link nyingine inayoweza kunipa story hyo A-Z?