Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
- #241
duh pole sanaHii true bro ang alikufa kimchezo mchezo bt nikasikia wakerewe wamemloga kisa tu msomi ,try utanishukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh pole sanaHii true bro ang alikufa kimchezo mchezo bt nikasikia wakerewe wamemloga kisa tu msomi ,try utanishukuru
Yai la mamba na ndizi mbichi au?Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
SEMA UKIJAMBA NI HATARI.kama ndo hivo mbona nimgeshakufwa siku mingi, btw mayai Ya kuchemsha ndizi na maziwa ndo chakula changu kila siku asubuhi.
hahahahaSEMA UKIJAMBA NI HATARI.