Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

.Ukila Samaki na maziwa mgando kwa wakati mmoja Mara kwa Mara unapata ugonjwa wa MBARANGA (Vitiligo) usipuuze Ni ishu inayotokea baada ya muda mrefu toka utumie
Kama inatokea baada ya muda mrefu wewe umejuajee ?

Huo muda mrefu ni ni masiku mangapi au miaka mingapi ?
 
Mimi shuhuda no1 Nimeshawi kula vyote na sijahisi chochote mwilini ila Leo ndio nasikia kwenu ati mtu anakufa ina maana Mimi ni mzimu!?
Watanzania wengi ni mizimu ila hamhijui tu,fikiri kama wewe sio mzimu inawezekana vipi mafuta yamepanda bei na wewe umetulia tu
 
Uongo MTUPU HUO....

Ila tu kitaalamu ,baadhi ya vyakula vikiliwa PAMOJA hupunguza UNYONYWAJI MZURI WA BAADHI....na Kusababisha KUPOTEZA VIRUTUBISHO na pia KUVIMBIWA kwa kuchelewesha MMENG'ENYO......
 
Kuna nyingine niliambiwa eti, eti, Tango na Asali unavuta, sasa sijui kuna ukweli hapo?
Sasa na wewe tango na asali ni wapi na wapi?! Ni sawa na kunywa chai na miwa..... Au chapati na ugali.
 
Kula mhogo kwa wachagga wanakufa nayo n kweli?
Walikula ile mihogo yenye sumu , ile unatakiwa kuiloweka kwanza kwenye maji usiku kucha kisha asubuhi uianike itumike kutengenezea unga.
 
Back
Top Bottom