Ni kweli kuna wanawake wananyota nzuri ukiwa nao au ni dhana tu?


Hii wanasemaga kuna jambo kubwa la stage ya kimaisha hujalifanya bado na unaliwazia sana mfano, kuoa/kuolewa, kujenga, kuanzisha biashara kubwa unayoiwaza miaka etc

Ila watakuja kunyoosha zaidi
 
Nakujibu Kwa ufupi!
Nikitulia jumamosi nitaupitia ule uzi kujibu swali moja moja..

Ndoto yako kuna mazingira ya kucheleweshwa, kuna hatua unatakiwa kupiga. Kuna sehemu ya wewe kujichelewesha na pia kuna vitu vinakuchelewesha ambavyo una amini vinaweza kukusaidia
 
Mbona malaya wacheza ex huko USA kama akina moriah mills ni matajiri na wanachanganya sn machine.

Hiyo ni dhana tu haina uhalisia wowote.
Utajiri ni jambo moja kwenye maisha.. ( alafu unaona hela Tu ndio Mambo kukunyookea ) kunaambo mengi Sana kwenye maisha... Unaona ni matajiri Ila nyuma Yale huelewi kinacho endelea kwenye maisha yao, na wengi hufa vifo vya ovyooo wanaishi maisha ya ajabu Sana..
 
Wapo wenye nyota
Wapo wenye mikosi
Wapo mlango wa nane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu fanya kushusha hizo nondo na sisi tufaidike jamani
 
Ni kweli kbsa, Unapodhiriki ngono na mtu huwa unabadilishana naye nguvu za kiroho kupitia shahawa na kutengeneza kitu kinaitwa soul tie.

Kwa hiyo Kama mwenza wako alikuwa Ni mtu wa mikosi,umaskini,magonjwa Basi na wewe utaandamwa na hayo kupitia zile nguvu za kiroho ulizobadilishana naye wakati wa tendo.

Kwa mfano mwanaume aliyeoa anaweza akapata mchepuko huko nje na akafanya naye mapenzi na baada ya hapo anarudi nyumbani kwa mkewe na kushiriki naye tendo.Ghafla wataanza kushuhudia mikosi ndani ya nyumba yao Kama vile magonjwa,kuporomoka kiuchumi na mengineyo.Haya yanaweza kuwa yamesababishwa na lile tendo la ngono aliloshiriki na mchepuko wake.

Tuweni makini Sana na watu tunaofanya nao mapenzi.Ukiwa umeoa ama umeolewa Ni vizuri ukatulia kwa mwenza wako.
 
upo sahihi kabisa mkuu
 
mkuu hii mlango wa nane ni nini maanayake? unaweza kueleza kiundani kidogo?
 
Nakubaliana na wewe Mjomba Yani ni ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…