GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Vp mkuu, una mfano dhahiri?Nakubaliana na wewe Mjomba Yani ni ukweli mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mkuu, una mfano dhahiri?Nakubaliana na wewe Mjomba Yani ni ukweli mtupu
Huwa nashangaaa Sana watu wanaolalaga na mtu yoyote.. unaweza hatibu kila kitu kwenye maisha yako Hadi siku unaingia kaburini
Ukitupia tu ni tag mkuu wimbo wa taifaNi kweli hilo halina ubishi..
Unapolala na mwanake spiritual mnaunganika na kuwa nafsi moja (kitu kimoja ).. bahati yake inakuwa yako mkosi wako unakuwa wako... ila pia utatembelea ki smart chake kama nyota yake kali kukuzidi kuliko wewe kwenye mafanikio au kama nyota yako kali kuliko yeake atakuwa mnufaika, na kama mmebalace pia nzuri...
ndio maana kuokota okota ni hatari sana pia, unaweza haribu maisha yako kwa usiku mmoja na kabao kamoko tu.... ngono nyuma yake ina mafumbo makubwa sana, kama watu wangejua wangekuwa waoga sana kutiana tiana ovyoo.. nikitulia nitashusha nondoo iliyoshiba.. ili atae taka kuelewa aelewe na mmbishi akaze shingo pia
Hii naona inaandama sana upande wa kikeni, mke akichepuka wengi mambo hukorogeka kuliko mume akichepuka sielewi kuna nini hapo katiNi kweli kbsa, Unapodhiriki ngono na mtu huwa unabadilishana naye nguvu za kiroho kupitia shahawa na kutengeneza kitu kinaitwa soul tie.
Kwa hiyo Kama mwenza wako alikuwa Ni mtu wa mikosi,umaskini,magonjwa Basi na wewe utaandamwa na hayo kupitia zile nguvu za kiroho ulizobadilishana naye wakati wa tendo.
Kwa mfano mwanaume aliyeoa anaweza akapata mchepuko huko nje na akafanya naye mapenzi na baada ya hapo anarudi nyumbani kwa mkewe na kushiriki naye tendo.Ghafla wataanza kushuhudia mikosi ndani ya nyumba yao Kama vile magonjwa,kuporomoka kiuchumi na mengineyo.Haya yanaweza kuwa yamesababishwa na lile tendo la ngono aliloshiriki na mchepuko wake.
Tuweni makini Sana na watu tunaofanya nao mapenzi.Ukiwa umeoa ama umeolewa Ni vizuri ukatulia kwa mwenza wako.
Umemaliza yote.Unashangaa umesex na limtu kila wakati unahisi kuhukumiwa tu....Mungu nisaidie mmna epuka kama ukoma wanawake ambao ukimgusa tu anakukubalia
au anakufanyia vituko mnaita mitego ili tu umle,usione ngekewa chukua maamuzi
ukiwa umetuliza akili yako vizuri kabla hujapokea zawadi unayoita kutunukiwa.
Juzi nilikua natoka makumbusho,naenda zangu Kimara Njiani kufika mlimani city
nikaona dada mmoja anaambaa ambaa pembezoni mwa bara bara taratiibuu kwa maringo na mapozi kama mtu aliechoka sana anaelekea kituo cha dala dala kusubiri dala dala nadhani.
Nikaona huyu ngojea nikatangulia kituo cha daladala nikamsubiri kufika nikamuita akaitika namuuliza unaenda wapi nikusogeze,dada akaniuliza kwani wewe unaenda wapi..
nikamwambia mi naelekea kimara,akasema afadhali na mimi naelekea huko huko,nikamwambia ingia twende,kweli kachoma ndani tukaendelea kwenda.
Sina story nae mimi kimyaaa nae kimya,kufika ubungo mataaa akavunja ukimya,akasema Daaah maisha haya!? nikamuuliza maisha haya yameefanyaje?
basi tu kaka angu hivi unajua sijui hata naenda wapi,nikamwambia dada hujui unapoenda kivipi si umesema unaenda kimara? akasema nimesema tu maana hata sijui sehemu yoyote hili jiji..
namuuliza kwani wewe n mgeni,Akasema hapana n mwenyeji ila sijawahi fika huku naishi masaki (NA KWELI amekaa ki masaki haswa) Nkamwambia sasa huko kimara unaenda wapi? akabaki kimya,akasema ndio maisha yenyewe haya sijui hata naelekea wapi
hapo tunaenda tushafika korogwe akili inawaza nautuaje huu msalaba... Nilivyoutua ni Story ingine...
Baada ya pale yule dada kuachana nae tu nilishikwa kizungu zungu kimoja hicho ni kama mtu kazaba kofi la uso sioni mbele wala nyuma.
Nililala pale pale nilikuja kushtuka ni saa 11 jioni, mkasa wote huu umetokea asubuhi nilidamkia ofisi za TIGO mida ya saa nne hv ndio nmekutana na yule mdada.
Maruenge yaliyonipata baada yakuachana na yule dada sitoyasahau nikasema sasa what if ningesema nipite nae hadi home ile ONE NIGHT STAND si yangenkuta zaidi ya hili?
ki ufupi si kila mwanamke n mwanamke wengine n maroho yaliyovaa umbo la mwanamke yanatafuta watu wao na walengwa n wanaume na sumaku n SEX kupitia sex wanaume tunapotezwa sana.
siamini nikisikia msanii flani anavuta unga,kawa teja,nk ninachojua mimi watu wa namna hiyo wameyakwaa kwenye moja ya aina hyo ya wanawake ambao ndio huwaaachia mikosi.
Kataa kubali,ukiona mwanaume yeyote ana mafanikio yake kweli halali na sio yakijanja janja Wale wanaume wanaitwa Hard working MAN kubali ukatae ila nakwambia Hawa watu SEX sio kipaumbele chao na kama wana mwanamke wanae mmoja na huyo mmoja mwenyewe mpka apate chululuu n kwa mbinde.
SEX ina connection kubwa sana na mafanikio na anguko lako Mwanaume,kubali kataa bisha guna ila fatilia maisha ya wanaume wanaojiita ma player kila mwanamke n wao,fatilia utapata majibu.
Ni kweliHili suala nilikua nalisikia tu lakini sasa niko asilimia nyingi kuamini kua kuna wanawake ukiwanao au ukikutana nao wanakua na bahati sana.
Kuna mdada kila tukikutana baada ya hapo nitapata habari njema, nashangaa sana.
Ni kweli haya mambo yapo au ni coincidence tu?