Ni kweli kuna watu wanaroga ili mwenye nyumba asahau kumalizia ujenzi au kuhamia kwenye nyumba yake?

Na ndio pona pona Yako iyo😂😂
 
Ningekupa tafu ila ww unataka kudhulumu tatizo 🤣🤣😂😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
Mwanangu mimi sahivi kumfanya mtu swala kibiti ni dk sifuri Yan watu tunahussle tunajichanga alafu uje ule kizembe tu
 
Ogopa Wamakonde...!

Wamewafanya vibaya Watu Mbezi beach na maeneo ya Bahati beach.

Unaishi Ulaya unamwacha Mmakonde aangalie Nyumba....! Mbona utaisahau
 
Pitia hii kwanza

 
Uchawi upo kweli kwenye hayo mambo lakini si mara zote bali kinachotokea ni asili inachukua mkondo wake
Kuna ukaribu unajengwa kiasili kati ya uliyemwachia na hiyo nyumba.. Nyumba haipaswi kuachwa wazi baada ya ujenzi wala haitakiwi kumpa mtu akae bure.. Nice heri kuipangisha hata kwa bei ndogo..
Ardhi inasikia na inaona! Mtu aliyepo kwenye nyumba hata akiihudumia vizuri namna gani lakini akawa analipa kodi ardhi inajua.. Lakini ile extra free huleta ukaribu kati ya wawili na wewe kuonekana mtu baki
 
Haya mambo yapo sana
 
Ni kweli, sisi mama yetu mdogo na wanawe walikuwa wanaturoga sana ila walishindwa kwa sababu sisi ni ukoo mwingine.
 
Mkuranga pasikie hivi hivi yalinikuta kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…