Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Hapana mkuu nimejibu kama nilivyo ulizwaKumbe we mganga
Naona ushajitangaza
Pm yako itakuwa bize sahv
Ova
Mimi ni mtu wa universe power
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu nimejibu kama nilivyo ulizwaKumbe we mganga
Naona ushajitangaza
Pm yako itakuwa bize sahv
Ova
Watu wabaya sana🤣😂😂😂Siyo tu hivyo unaweza hata kusahau kama ulianzisha ujenzi na unajenga labda kama mtu akuzindue watu waroga , kwa wale ambao hujenga kimyakimya bila kumshirikisha mtu wa karibu hata wa kukuzindua kama una ujenzi ndo basi tena 😀😀😀
Acha mkuuUtakuta watu washa jenga na kuhamia zamani
Nipe tenda ya kufuatilia na kukupa updateViwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
😄😄😄😄😄😄😄 TayariiiViwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
Wakuu kwema?
Nimisikia kuhusu hili na maeneo ya Mbezi Beach, Mikocheni na Masaki Masaki huko ni wahanga kweli.
Unajenga nyumba inaweza ikabaki kidogo au ukaimaliza kabisa lakini ukawa una sehemu nyingine ya kuishi, sasa hapo ambapo hujamalizia au ulipomalizia unaweka mtu wa kukulindia au mshkaji anakuomba akae hapo ukimaliza ujenzi au siku ukitaka kujamia atahama.
Lakini kila ikitaka kwenda kumalizia ujenzi unasahau, kila ukitaka ukaangalie nyumba yako unasahau, kumbe umepigwa kirogo usahau nyumba yako watu wajifaidie. Wanakaa hapo hadi wanapata wajukuu.
Bila ya kuwa vizuri kwenye mizimu yenu au ukaenda na mchungaji mkapiga maombi ndio imetoka hiyo, hakuna kuzinduka. Ndio ukute ulikuwa unajenga kisirisiri, ndio inakua imeisha hiyo.
Mzee wa mizimu hii imekaaje Mshana Jr? Ni kweli haya yanafanyika au stori tu za mtaani?
Kama umeweka mtu alinde kiwanja basi mfukuze utashangaa kila wikiendi unaenda...very strange but ni ukweli...kabisa Nina experience zaidi ya moja ya hayo mamboViwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
Noma sana!Kwahiyo wamakonde wanasingiziwa kwa hii michezo?
Mkuu utawapata wengi sana. Jiandae tu kuvuna chenji.Mkuu nashukulu Kwa Kuni tagg
Nimeona hii mada kupitia wewe wacha nijibu Kwa nijuavyo na niliyo yaona🙏🏽.
Kuna dada mmoja anaishi morogoro alikuja akiwa amepata ajali aligongwa na gari la tanesco kwenye paja na gari ikapita juu ya paja lake ebu jast imagine iyo ajali ilikuaje 🤷🏽♂️ SI ya kuondoka mtu eeeh,haya tuendelee hospital alikaa miaka 2 anauguza paja kidonda kinatoa maji tu hakiskii dawa hatimae ma doctor wakamwambia apa sisi tumemaliza Kila kitu lakin Hali Yako Bado haibadiliki ivyo hili tatizo sio letu apa hospital nenda na upande wa pili wa tiba asili,ndo kukutana nae,n kwel Ile ajali ilikua ya mazingara tukapambana nae baada ya miez 4 mbele akapona kabisa kidonda chake na maisha mengine yakaendelea,baada ya miaz 2 mbele yule dada alirud kuja kunipa shukran Kwa kidonda (mguu wake)kupona kabisa.
Ila akanambia nyumbani kwao matombo bwakila juu uko Kwa wenyeji wa uko nadhan mnapafahamu, tuendelee na mada yetu kule ana nyumba yake Kila akijenga inafika adi linta ila inabomoka alafu ni kipindi Cha kiangazi ndo inadondoka anasema imeshaanguka mala 3 nzima,ikanibidi Mimi na yeye nitoke nilipo ad uko matombo kwenye huo mjengo wake ,niliingia mapema tu pale jion ila nikafikia guest mida ya Kaz sa sita usiku nikaenda kupaweka SAWA asubui mi huyoooo nikalud kwenye makazi yangu ya siku zote Kisha nikamwambia nenda kaendelee na ujenzi alifanya ivyo adi Leo anaitwa mama mjengo,ule mjengo haukudondoka tena ila nilimwambia adui Yako anae kufanyia ivi utamjua kwel kwao ukatokea msiba akaenda kufika kule mama yake mkubwa na mjomba wake walipo mwona tu bint kafika msibani waliongea maneno ya shiti sana kwamba yule Binti analinga+kujiskia nk na wakaondoka wakilia kwamba wanaumia na hawakulud tena msibani ad kesho yake watu wanazika wao hawakuonekana😂😂.
Mkasa wa pili.
Kuna police yupo Dodoma Kwa jina namuhifadhi,alinipigia sim kwamba ana kiwanja chake anakiuza pale mbezi malapa mawili ambacho ndo alinzia maisha wakati anapata Kaz alikiuza Kwa mda wa miaka 3 bila kupata mteja watu wanakuja kukiangalia kwenye malipo Waha onekani😂😂,Mimi uyooooo nikafunga safari kwenye bus naingia jijini dare salade nimefika sa 10 jion nikapokelewa na dada yake na uyo afande nikaset mambo yangu Kisha nikamwambia nipeleke site kufika site nikapiga mambo yangu safi,nikalud kupanda bus uyooo kwenye makazi yangu kuendelea na mambo yangu mengine,kile kiwanja alikua mwenyewe anakiuza million 33 lakin hakupata mteja akaja kuuza ad million 12 hakuna mteja,baada ya kufanya Mimi kazi ndani ya wiki alikiuza million 47 badala ya milon 33 😂😂😂 watu wabaya sana,na Alie Fanya Kaz iyo alikua dalali alikifunga Ili kisipate mteja yeye dalali ndo akiuze Kwa bei anayo itaka yeye ambayo afande alikua anaona kama anazulumika mana dalali anapata pakubwa kuliko yeye mwenye Mali,ivyo akagoma🤣🤣🤣.
NB: Sio madalali wote watundu msije kunichukia Bure ndugu zangu😂😂😂.
Ivyo Aya mambo ni yapo na yanawatesa sana watu,watu wanapoteza haki zao sababu ya ujinga wa watu wavivu kutafuta.
Nawakilisha hoja🙏🏽
Kwann mkuuMkuu utawapata wengi sana. Jiandae tu kuvuna chenji.
Hapana mkuu Mimi Bado mdogo mno Bado sijawafikia hao
Njoo dm na laki 5 cash nikuunganishe chapuHao. Waganga wapo wapi kuna mwenye nyumba hapa naoona ananifuatilia sana nataka aniachie huru
HahahaHio ndo changamoto moja wapo ukimtumia Fundi Maiko
Zaka kivipi mkuuSefania 1:13
Watajenga nyumba lakini hawatakaa ndani yake.
Hii ni LAANA Mungu huruhusu Kwa wote wanaojaribu kufanya mambo bila kumtegemea Mungu, shetani hupata ruhusa kukwamisha hatua za mtu.
(Isaya 65:21)
Watajenga nyumba na kukaa ndani yake,
Hii ni baraka.
Uchawi unafanikiwa tukienda nje ya mapenzi ya Mungu, tukiwa ndani yake, hakuna uchawi juu yetu.
Tujifunze kulipa zaka kuepuka LAANA.
Hyo kitu ipo sanaWakuu kwema?
Nimisikia kuhusu hili na maeneo ya Mbezi Beach, Mikocheni na Masaki Masaki huko ni wahanga kweli.
Unajenga nyumba inaweza ikabaki kidogo au ukaimaliza kabisa lakini ukawa una sehemu nyingine ya kuishi, sasa hapo ambapo hujamalizia au ulipomalizia unaweka mtu wa kukulindia au mshkaji anakuomba akae hapo ukimaliza ujenzi au siku ukitaka kujamia atahama.
Lakini kila ikitaka kwenda kumalizia ujenzi unasahau, kila ukitaka ukaangalie nyumba yako unasahau, kumbe umepigwa kirogo usahau nyumba yako watu wajifaidie. Wanakaa hapo hadi wanapata wajukuu.
Bila ya kuwa vizuri kwenye mizimu yenu au ukaenda na mchungaji mkapiga maombi ndio imetoka hiyo, hakuna kuzinduka. Ndio ukute ulikuwa unajenga kisirisiri, ndio inakua imeisha hiyo.
Mzee wa mizimu hii imekaaje Mshana Jr? Ni kweli haya yanafanyika au stori tu za mtaani?
Naahidi weekend ijayo naanza kutembelea. Hii si kawaida yangu.Kama umeweka mtu alinde kiwanja basi mfukuze utashangaa kila wikiendi unaenda...very strange but ni ukweli...kabisa Nina experience zaidi ya moja ya hayo mambo
Zaka ni malipo ya 10% Kutoka kwenye Pato alilokupa Mungu.Zaka kivipi mkuu