Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sanaNdio baba angu alikua akiambiwa habari ya shamba lake alilomuweka mjomba wetu anakua mkali alikaa miaka10 hajakanyaga..... huyo mjomba ambae aliomba kuwa mlinzi anaangusha nazi anauza analima na familia yake raha mustarehe mpaka watoto wengine wanazaliwa na kuwa wakubwa hapohapo...mama angu anaambiwa huko yanayosemekana hili shamba sio lenu ni lake huyo mjomba na haliuzwi mpaka apende yeye...mwisho wa siku hakuna marefu yasio na ncha tuliliuza akiwa hata hajahama hapo na uhasama juu
🤣🤣🙌Hasa watu wa kusini, hao ukiwapa kulinda nyumba yako utasahau hata ulipokuwa umejenga
Nimenunuaga shamba pingo chalinze nikipita yale maaneo ndio nakumbukaaga na mama watoto yeye ndio hatakaagi hata kupasikia sijui wametuloga na nnViwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
Ni hatari tupu haoHasa watu wa kusini, hao ukiwapa kulinda nyumba yako utasahau hata ulipokuwa umejenga
Utakutana na mauza uza si mchezo, hata makofi utakuwa unakutana nayo bila kumuona mtu aliekupiga.Hii kali😂😂 kwahiyo ukihamia unakuwa msukule wao?
Aaah wewe bwana VIP bwana lini na wapiUtakutana na mauza mauza si mchezo, hata makofi utakuwa unakutana nayo bila kumuona mtu aliekupiga.
Viwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
Mkuu nashukulu Kwa Kuni taggMkuu Dogoli kinyamkela kuna mada yako huku
Idumu mizimuMzee wa mizimu hii imekaaje
Kumbe we mgangaMkuu nashukulu Kwa Kuni tagg
Nimeona hii mada kupitia wewe wacha nijibu Kwa nijuavyo na niliyo yaona🙏🏽.
Kuna dada mmoja anaishi morogoro alikuja akiwa amepata ajali aligongwa na gari la tanesco kwenye paja na gari ikapita juu ya paja lake ebu jast imagine iyo ajali ilikuaje 🤷🏽♂️ SI ya kuondoka mtu eeeh,haya tuendelee hospital alikaa miaka 2 anauguza paja kidonda kinatoa maji tu hakiskii dawa hatimae ma doctor wakamwambia apa sisi tumemaliza Kila kitu lakin Hali Yako Bado haibadiliki ivyo hili tatizo sio letu apa hospital nenda na upande wa pili wa tiba asili,ndo kukutana nae,n kwel Ile ajali ilikua ya mazingara tukapambana nae baada ya miez 4 mbele akapona kabisa kidonda chake na maisha mengine yakaendelea,baada ya miaz 2 mbele yule dada alirud kuja kunipa shukran Kwa kidonda (mguu wake)kupona kabisa.
Ila akanambia nyumbani kwao matombo bwakila juu uko Kwa wenyeji wa uko nadhan mnapafahamu, tuendelee na mada yetu kule ana nyumba yake Kila akijenga inafika adi linta ila inabomoka alafu ni kipindi Cha kiangazi ndo inadondoka anasema imeshaanguka mala 3 nzima,ikanibidi Mimi na yeye nitoke nilipo ad uko matombo kwenye huo mjengo wake ,niliingia mapema tu pale jion ila nikafikia guest mida ya Kaz sa sita usiku nikaenda kupaweka SAWA asubui mi huyoooo nikalud kwenye makazi yangu ya siku zote Kisha nikamwambia nenda kaendelee na ujenzi alifanya ivyo adi Leo anaitwa mama mjengo,ule mjengo haukudondoka tena ila nilimwambia adui Yako anae kufanyia ivi utamjua kwel kwao ukatokea msiba akaenda kufika kule mama yake mkubwa na mjomba wake walipo mwona tu bint kafika msibani waliongea maneno ya shiti sana kwamba yule Binti analinga+kujiskia nk na wakaondoka wakilia kwamba wanaumia na hawakulud tena msibani ad kesho yake watu wanazika wao hawakuonekana😂😂.
Mkasa wa pili.
Kuna police yupo Dodoma Kwa jina namuhifadhi,alinipigia sim kwamba ana kiwanja chake anakiuza pale mbezi malapa mawili ambacho ndo alinzia maisha wakati anapata Kaz alikiuza Kwa mda wa miaka 3 bila kupata mteja watu wanakuja kukiangalia kwenye malipo Waha onekani😂😂,Mimi uyooooo nikafunga safari kwenye bus naingia jijini dare salade nimefika sa 10 jion nikapokelewa na dada yake na uyo afande nikaset mambo yangu Kisha nikamwambia nipeleke site kufika site nikapiga mambo yangu safi,nikalud kupanda bus uyooo kwenye makazi yangu kuendelea na mambo yangu mengine,kile kiwanja alikua mwenyewe anakiuza million 33 lakin hakupata mteja akaja kuuza ad million 12 hakuna mteja,baada ya kufanya Mimi kazi ndani ya wiki alikiuza million 47 badala ya milon 33 😂😂😂 watu wabaya sana,na Alie Fanya Kaz iyo alikua dalali alikifunga Ili kisipate mteja yeye dalali ndo akiuze Kwa bei anayo itaka yeye ambayo afande alikua anaona kama anazulumika mana dalali anapata pakubwa kuliko yeye mwenye Mali,ivyo akagoma🤣🤣🤣.
NB: Sio madalali wote watundu msije kunichukia Bure ndugu zangu😂😂😂.
Ivyo Aya mambo ni yapo na yanawatesa sana watu,watu wanapoteza haki zao sababu ya ujinga wa watu wavivu kutafuta.
Nawakilisha hoja🙏🏽
Umeweka mlinzi ?Nimenunuaga shamba pingo chalinze nikipita yale maaneo ndio nakumbukaaga na mama watoto yeye ndio hatakaagi hata kupasikia sijui wametuloga na nn
Kweli ndiyo Maana matajiri wakinunua eneo wanazungushia mabati au ukuta na kuweka mlinzi wa kampuni alinde eneo,watu waanza kusema mbona analipa kampuni pesa za ulinzi wakati hakuna mali za kuibiwa kumbe tajiri hata mazonge anataka kila mwisho wa mwezi kampuni ifate pesa ya ulinzi ya eneo lake na yeye hapo hapo anakua kashakumbushwa eneo lake.... mtanifanya jengo langu niweke kampuni ya ulinzi, japo kwa gharama nisizozimudu!
😅