Ni kweli kuna watu wanaroga ili mwenye nyumba asahau kumalizia ujenzi au kuhamia kwenye nyumba yake?

Ndio baba angu alikua akiambiwa habari ya shamba lake alilomuweka mjomba wetu anakua mkali alikaa miaka10 hajakanyaga..... huyo mjomba ambae aliomba kuwa mlinzi anaangusha nazi anauza analima na familia yake raha mustarehe mpaka watoto wengine wanazaliwa na kuwa wakubwa hapohapo...mama angu anaambiwa huko yanayosemekana hili shamba sio lenu ni lake huyo mjomba na haliuzwi mpaka apende yeye...mwisho wa siku hakuna marefu yasio na ncha tuliliuza akiwa hata hajahama hapo na uhasama juu
Noma sana
 
Viwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
Nimenunuaga shamba pingo chalinze nikipita yale maaneo ndio nakumbukaaga na mama watoto yeye ndio hatakaagi hata kupasikia sijui wametuloga na nn
 
Yasikie tu hivi hivi mitandaoni msinikumbushe kiwanja changu Mkuranga , watu wameniuzia wenyewe kiwanja naondoka jioni wakarudi kwenye kiwanja walichoniuzia acha waanze kulia vibaya baya na kugara gara

Hayo nilikuja kuyajua baadae sanaa, kila nikipanga nikalimie na kuangalia usalama naghairi miaka mitatu mpaka akili ilipokaa sawa
 
Sefania 1:13

Watajenga nyumba lakini hawatakaa ndani yake.

Hii ni LAANA Mungu huruhusu Kwa wote wanaojaribu kufanya mambo bila kumtegemea Mungu, shetani hupata ruhusa kukwamisha hatua za mtu.

(Isaya 65:21)

Watajenga nyumba na kukaa ndani yake,

Hii ni baraka.

Uchawi unafanikiwa tukienda nje ya mapenzi ya Mungu, tukiwa ndani yake, hakuna uchawi juu yetu.

Tujifunze kulipa zaka kuepuka LAANA.
 
Utakuta watu washa jenga na kuhamia zamani
Viwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
 
Mkuu Dogoli kinyamkela kuna mada yako huku
Mkuu nashukulu Kwa Kuni tagg
Nimeona hii mada kupitia wewe wacha nijibu Kwa nijuavyo na niliyo yaona🙏🏽.

Kuna dada mmoja anaishi morogoro alikuja akiwa amepata ajali aligongwa na gari la tanesco kwenye paja na gari ikapita juu ya paja lake ebu jast imagine iyo ajali ilikuaje 🤷🏽‍♂️ SI ya kuondoka mtu eeeh,haya tuendelee hospital alikaa miaka 2 anauguza paja kidonda kinatoa maji tu hakiskii dawa hatimae ma doctor wakamwambia apa sisi tumemaliza Kila kitu lakin Hali Yako Bado haibadiliki ivyo hili tatizo sio letu apa hospital nenda na upande wa pili wa tiba asili,ndo kukutana nae,n kwel Ile ajali ilikua ya mazingara tukapambana nae baada ya miez 4 mbele akapona kabisa kidonda chake na maisha mengine yakaendelea,baada ya miaz 2 mbele yule dada alirud kuja kunipa shukran Kwa kidonda (mguu wake)kupona kabisa.

Ila akanambia nyumbani kwao matombo bwakila juu uko Kwa wenyeji wa uko nadhan mnapafahamu, tuendelee na mada yetu kule ana nyumba yake Kila akijenga inafika adi linta ila inabomoka alafu ni kipindi Cha kiangazi ndo inadondoka anasema imeshaanguka mala 3 nzima,ikanibidi Mimi na yeye nitoke nilipo ad uko matombo kwenye huo mjengo wake ,niliingia mapema tu pale jion ila nikafikia guest mida ya Kaz sa sita usiku nikaenda kupaweka SAWA asubui mi huyoooo nikalud kwenye makazi yangu ya siku zote Kisha nikamwambia nenda kaendelee na ujenzi alifanya ivyo adi Leo anaitwa mama mjengo,ule mjengo haukudondoka tena ila nilimwambia adui Yako anae kufanyia ivi utamjua kwel kwao ukatokea msiba akaenda kufika kule mama yake mkubwa na mjomba wake walipo mwona tu bint kafika msibani waliongea maneno ya shiti sana kwamba yule Binti analinga+kujiskia nk na wakaondoka wakilia kwamba wanaumia na hawakulud tena msibani ad kesho yake watu wanazika wao hawakuonekana😂😂.

Mkasa wa pili.
Kuna police yupo Dodoma Kwa jina namuhifadhi,alinipigia sim kwamba ana kiwanja chake anakiuza pale mbezi malapa mawili ambacho ndo alinzia maisha wakati anapata Kaz alikiuza Kwa mda wa miaka 3 bila kupata mteja watu wanakuja kukiangalia kwenye malipo Waha onekani😂😂,Mimi uyooooo nikafunga safari kwenye bus naingia jijini dare salade nimefika sa 10 jion nikapokelewa na dada yake na uyo afande nikaset mambo yangu Kisha nikamwambia nipeleke site kufika site nikapiga mambo yangu safi,nikalud kupanda bus uyooo kwenye makazi yangu kuendelea na mambo yangu mengine,kile kiwanja alikua mwenyewe anakiuza million 33 lakin hakupata mteja akaja kuuza ad million 12 hakuna mteja,baada ya kufanya Mimi kazi ndani ya wiki alikiuza million 47 badala ya milon 33 😂😂😂 watu wabaya sana,na Alie Fanya Kaz iyo alikua dalali alikifunga Ili kisipate mteja yeye dalali ndo akiuze Kwa bei anayo itaka yeye ambayo afande alikua anaona kama anazulumika mana dalali anapata pakubwa kuliko yeye mwenye Mali,ivyo akagoma🤣🤣🤣.
NB: Sio madalali wote watundu msije kunichukia Bure ndugu zangu😂😂😂.

Ivyo Aya mambo ni yapo na yanawatesa sana watu,watu wanapoteza haki zao sababu ya ujinga wa watu wavivu kutafuta.

Nawakilisha hoja🙏🏽
 
Kama unaweza kuroga nyumba isiishe kwanini kama taifa tunahangaika ? Si turoge ujenzi uishe hata kabla haujaanza ?

When rational fails people turns to spirituality (irrational)...
 
Kumbe we mganga
Naona ushajitangaza
Pm yako itakuwa bize sahv

Ova
 
... mtanifanya jengo langu niweke kampuni ya ulinzi, japo kwa gharama nisizozimudu!
😅
Kweli ndiyo Maana matajiri wakinunua eneo wanazungushia mabati au ukuta na kuweka mlinzi wa kampuni alinde eneo,watu waanza kusema mbona analipa kampuni pesa za ulinzi wakati hakuna mali za kuibiwa kumbe tajiri hata mazonge anataka kila mwisho wa mwezi kampuni ifate pesa ya ulinzi ya eneo lake na yeye hapo hapo anakua kashakumbushwa eneo lake.
 
Mzee wangu huwa ana shamba moja kubwa sana Mkuranga lina ardhi nzuri sana kwa ajili ya kulimo cha mihogo pia kuna nyumba ya kawaida anakaa mzee mmoja na familia yake miaka kadhaa sasa

Cha kushangaza mzee huwa hataki tulime mihogo wala kuvuna nazi katika shamba hilo vyote kamuachia huyo mzee analima almost miaka kumi sasa

Bad enough kuna wawekezaji walitaka kununua hili shamba walitaka kutoa kama 250M ivi ila mzee alikata with no reason. Sijui ndo mzee wetu kalogwa

NB: 250M kwa hili shamba ni offer nzuri na worth enough kwa hili eneo
 
Back
Top Bottom