Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
 

Attachments

  • FB_IMG_1697264670367.jpg
    FB_IMG_1697264670367.jpg
    44.6 KB · Views: 2
Kuna vitu ukivifanya maishani unakosea sana.
1. Kupiga picha na hela na kupost
2. Kumpost mpenzi kwa lengo la kututambia
Yani kwa ujumla matambo sio kabisa.
 
Back
Top Bottom