Mjukuu wa kigogo JF-Expert Member Joined Sep 19, 2023 Posts 445 Reaction score 1,094 Oct 14, 2023 #1 Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana Attachments FB_IMG_1697264670367.jpg 44.6 KB · Views: 2
Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Oct 14, 2023 #2 Capone Noriegga said: Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana Click to expand... Huyo jamaa uliyempost amekuruhusu?
Capone Noriegga said: Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana Click to expand... Huyo jamaa uliyempost amekuruhusu?
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Oct 14, 2023 #3 Tunza kibunda chako
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Oct 14, 2023 #4 Kuna vitu ukivifanya maishani unakosea sana. 1. Kupiga picha na hela na kupost 2. Kumpost mpenzi kwa lengo la kututambia Yani kwa ujumla matambo sio kabisa.
Kuna vitu ukivifanya maishani unakosea sana. 1. Kupiga picha na hela na kupost 2. Kumpost mpenzi kwa lengo la kututambia Yani kwa ujumla matambo sio kabisa.
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 Oct 14, 2023 #5 Sasa huyo ana urembo gani