Ni kweli kuonja chakula kwenye mwiko na kulia kwenye sufuria kunafanya mtu achelewe kuoa au asioe kabisa?

Mimi sijawahi kupigwa na mwiko na kulia kwenye sufuria na sijaoa hadi Leo

Kwa hapo unasemaje labda?
 
Mimi sijawahi kupigwa na mwiko na kulia kwenye sufuria na sijaoa hadi Leo

Kwa hapo unasemaje labda?
utaoa tu,
40yrs bado bado,
ma kuna mwingine bado hajafill kabisa kuchochewa na life realities kwa upande wa kua na mke au mtoto but hiyo hali itakuja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…