Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ni mgonjwa huyo ๐Mwanamke mwenye drama kama huyo wa nini?piga chini
Hizo damu zilizomtoka hazitakiwi kuwa shida zako kwasababu yeye anajua sababu ndio maana akajihami kwa kutandika kitenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu acha kupiga watu fix zako hapa, LolMwanamke akikaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa bikra huwa inarudi upya kabisa
Watu wengi hawana hii elimu
Hapa watakubishia
Lakini huyo dada alikuwa bikra kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
khakhakhaaaa! Huendi mbinguni smart
Muulize huyo mwanamke aliekuaminisha kua bikra inarudi.Fala sana wewe sa ukubwa jinga wangu nn??
Yaani umekuwa wa kwanza kumshangaa au? Badala umjibie!! Kwani wewe siyo kungwi? Au ameingizwa mkenge nini?๐ณ๐ฅด
Nashangaa!! Ingekuwa ni kidonda kweli tungesema kikipona basi panazalisha ngozi mpya au kovu. Lakini naniliu!!!!๐คฆJichangaaanye
Yaani mtu ni Single mother (Ina maana ameshazaa) halafu awe na bikira kisa tu hajashiriki tendo muda mrefu? ๐๐๐๐Labda nazeeka sijui
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Msaidie kama kuna unalojua.Mtajuana wenyewe huko nyie endeleeni kupembuana
Hii ni kamba๐คฃ๐คฃinarudi,we hayaa
๐คฃ๐คฃinarudi,we hayaa
Umemjibu vema.Mwanamke mwenye drama kama huyo wa nini?piga chini
Hizo damu zilizomtoka hazitakiwi kuwa shida zako kwasababu yeye anajua sababu ndio maana akajihami kwa kutandika kitenge
hamna hiyo kituNashangaa!! Ingekuwa ni kidonda kweli tungesema kikipona basi panazalisha ngozi mpya au kovu. Lakini naniliu!!!!๐คฆ
Siijui, tuwasubiri madaktari๐
Mmh hapa umepigwa nduguWasalaam madaktari na wahenga...
Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili.
Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri.
Kwanza ameokoka na katika uchumba wetu, aligoma tusifanye mapenzi kabla ya ndoa otherwise hatutafikia hatua ya malengo yetu, nilitika kishingoupande ila sikukubali kwakua wanawake wa mjini ni janja janja saana. Niliendelea kumchombeza mwishoe akajaa akahitaji tu sex.
Alinipa taadhari kwamba ni miaka mitatu hajafanya mapenzi hivo anahisi atakua kama bikra. Nilifurahi kusikia hivo.
Basi siku tunakutana sikuamini alijifanya kuhangaika na kuomba atandike kitenge chake ili asijechafua shuka la hotel, nilianza kuona vitu vya ajibu kama discharge zenye u kijani nikasema ngoja ni stop nijifute, kuja kufuta zikabadilika rangi na kua nyekundu mithili ya damu, kumcheki na yeye kwenye uke kuna damu? Kumuuliza anasema anashangaa hata yeye hajui pengine ni bikra ivo nimemtoa bikra upyaa.๐๐๐
Akaniambia amekua akiskia maumivu nilipokua na muingilia kwakua ni mda mrefu, hata ivo amekua mtu wa maombi saana kiasi ya kwamba mtumishi wake alimwambia anaweza rudisha bikra yake atakama alisha zaa.
Kifupi damu zilitoka nyingi hadi kero lakini chaajabu sijaona ugumu katika kumwingilia, yaani nikama nilikua nafanya mapenzi na mwanamke mzoefu... nikabaki najiuliza je ni bikra fake (maana naskia zipo) au ni mgonjwa??
MADAKTAR mnisaidie sio mgonjwa kweli?? Na ka mgonjwa atakua anaumwa nn?? Na je hajaniambukiza?
Na nikweli bikra ya nyuzi inaweza kurudi ndani ya miezi mitatu?
Makungwi pia nisaidieni hapo?
kuhusu period hakua tarehe za period
natanguliza shukrani๐
Nishashtuka mzeeMmh hapa umepigwa ndugu
Aliibandika
Inapatikana wap hio??Aliibandika