Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damu sio bikraa kijanaa acha upumbavuuuuuu...!! Hata demu akianza period ukimlaa anatokaa na damuuu tena nyingiii.. Bikra haitoi damu nyingi kama unavyosema wew.. kama ulitaka bikra poleee maana umepotea njiaa jumlaSasa zile damu ni za nn??
Kalee tigo hiyoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kubabeki leo kaniambia anione anipe kitu ambacho anajua nnashida nacho kitambo ndo nawaza hapa
Mkuu ka tunaogomvi vileSorry but we ni jinga la majinga.
Miaka 5 mara mitatu hivi we unajua mtu anae kula akashiba kinachobaki huwa ni nini?
Acha kumtetea ili kujipa uhalali huyo ni malaya tu!
Anajificha kwenye kichaka cha dini eti ameokoka mara ni mtu wa maombi sana sijui aliambiwa akiomba sana bikira yake itarudi, shenzi sana. Eti akatindika kitenge kakutana na fala 1 kwa nini asitafute namna uingie kwenye 18 zake?
Jitu lilishazaa we nae eti ukijani umekuwa damu nyingi wakati huo kitu haibani ni bwawa we nae unakuja kuomba msaada kujua kama ndo bikira!
Ni hivi umepigwa wewe mtu anakuzidi umri huyo ni mzoefu wa mambo kuliko wewe kimbia hapo haraka sana.
Babuu elewa mi nilitaka kujua technology aliyetumia sio kwamba mi boya kiasi ichoDamu sio bikraa kijanaa acha upumbavuuuuuu...!! Hata demu akianza period ukimlaa anatokaa na damuuu tena nyingiii.. Bikra haitoi damu nyingi kama unavyosema wew.. kama ulitaka bikra poleee maana umepotea njiaa jumla
Njia husinyaa tu na kuwa na mvuto wa kipekee. Lakini bikira ikishatoka hairudi tena labda artificial maana zipo teleMsaada wako brother 🙏
Tech ni karanga, maganda na supu yakeBabuu elewa mi nilitaka kujua technology aliyetumia sio kwamba mi boya kiasi icho
Watu wana machungu ya maisha Mkuu, wakati mwingine jambo kama hili la kiafya bora uwasiliane na Wataalamu wa afya nje ya humu Jamiiforums watu humu wamevurugwa sana Mkuu, mara 100 bora hata uulize ChatGPT unaweza ukapata majibu ya kuelewekaNimekuja kiunyeyekevu kuomba msaada mbona ka tunaugomvi ndugu yangu?? Eb jaribu kuvaa viatu vyangu plzzz
Hawa watu wa humu usiwape hisia kikubwa mtu ni kuwachuja tuu na mawazo yaoWatu wana machungu ya maisha Mkuu, wakati mwingine jambo kama hili la kiafya bora uwasiliane na Wataalamu wa afya nje ya humu Jamiiforums watu humu wamevurugwa sana Mkuu, mara 100 bora hata uulize ChatGPT unaweza ukapata majibu ya kueleweka