Ni kweli kuwa Burkina Faso wamegundua mafuta mapipa bilioni 50?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Nimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu mapipa 40bilioni. Hizi habari zina ukweli gani?
 
Kama itakuwa za ukweli basi Mungu mkubwa. Chini ya bwana mdogo Ibra Burkina Faso itakuwa Real Dubei of Africa. Piga picha Tu sasa haijaanza kuchimba hayo lakini imepiga hatua kubwa kimaendeleo.

Nyau de adriz
 
Nimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu mapipa 40bilioni. Hizi habari zina ukweli gani?
Weka source ya habari yako
 
🤣🤣.

Basi hapo walitaka kumpa credit huyo Traore!

Nishasema mara nyingi hapa kuwa huyo jamaa anapaishwa tu humu mitandaoni kwa habari za uongo uongo.

Habari zake hazina tofauti ni zile ‘nukuu’ za Robert Mugabe mitandaoni.

Kipindi cha uapisho wa Trump walizusha kuwa Traore alikataa mwaliko wa Trump wa kuhudhuria uapisho wake.

Si ajabu Trump hata hajui kuwa kuna kanchi ka Kiafrika kanaitwa Burkina Faso.
 
Traore ana kitengo maalum cha kumfanyia propaganda mitandaoni.

Kwa hiyo hizi si habari za kuzuka tu zinapaishwa na kikosi maalum cha propaganda za mitandaoni.

Na hivi watu wetu wasivyojua kuhakiki habari ndiyo kabisaaa wanachotwa.
 
Traole sasa anataka kuwa kama PK na stori za Ulela ulela
PK ni kibaraka anae tesa na kuua Waafrica wenzie, Traore ni mzalendo anae wapenda watu wake na Africa nzima. PK pia anawapenda Watutsi tu, Wahutu hana time nao ingawa mdomoni mwake anadanganya eti hataki UKABILA Rwanda 😠 😡 👿
 
Na sie Tanzania tunazo ngapi jamani mtuambie.....?
 
🤣🤣.

Basi hapo walitaka kumpa credit huyo Traore!

Nishasema mara nyingi hapa kuwa huyo jamaa anapaishwa tu humu mitandaoni kwa habari za uongo uongo.

Habari zake hazina tofauti ni zile ‘nukuu’ za Robert Mugabe mitandaoni.

Kipindi cha uapisho wa Trump walizusha kuwa Traore alikataa mwaliko wa Trump wa kuhudhuria uapisho wake.

Si ajabu Trump hata hajui kuwa kuna kanchi ka Kiafrika kanaitwa Burkina Faso.
Imekuwa shida sana kujua ukweli na fiks. Sasa hivi watamfanya Messiah. Inaonekana habari zake zinaleta sana engagements kwenye mitandao.
 
This story is fake and totally fallacious therefore I call on the people to ignore it wholesale. No any discovery of oil that has happened in Burkina Faso.
 
Back
Top Bottom