Ni kweli kuwa Burkina Faso wamegundua mafuta mapipa bilioni 50?

Ni kweli kuwa Burkina Faso wamegundua mafuta mapipa bilioni 50?

Imekuwa shida sana kujua ukweli na fiks. Sasa hivi watamfanya Messiah. Inaonekana habari zake zinaleta sana engagements kwenye mitandao.
Uongo rahisi kabisa kuaminika ni ule uongo ambao watu wanapenda kuuamini tayari.

Many Africans are desperate for good leadership, and would like to believe this is it.

So it is very easy to deceive them, because they already want to hear these stories of defiance and triumphalism.

Even if the reality is different.

Traore ana stories kibao nzurinzuri mitandaoni, ambazo ukizichunguza kidogo tu unakuta ni za uongo.

Kwa nini?
 
Back
Top Bottom