Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kama itakuwa za ukweli basi Mungu mkubwa. Chini ya bwana mdogo Ibra Burkina Faso itakuwa Real Dubei of Africa. Piga picha Tu sasa haijaanza kuchimba hayo lakini imepiga hatua kubwa kimaendeleo.Nimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu mapipa 40bilioni. Hizi habari zina ukweli gani?
Traole sasa anataka kuwa kama PK na stori za Ulela ulelaNimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu mapipa 40bilioni. Hizi habari zina ukweli gani?
😀😀😀Sound tu hakuna issue
Weka source ya habari yakoNimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu mapipa 40bilioni. Hizi habari zina ukweli gani?
Nimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu mapipa 40bilioni. Hizi habari zina ukweli gani?
🤣🤣.
Traore ana kitengo maalum cha kumfanyia propaganda mitandaoni.🤣🤣.
Basi hapo walitaka kumpa credit huyo Traore!
Nishasema mara nyingi hapa kuwa huyo jamaa anapaishwa tu humu mitandaoni kwa habari za uongo uongo.
Habari zake hazina tofauti ni zile ‘nukuu’ za Robert Mugabe mitandaoni.
Kipindi cha uapisho wa Trump walizusha kuwa Traore alikataa mwaliko wa Trump wa kuhudhuria uapisho wake.
Si ajabu Trump hata hajui kuwa kuna kanchi ka Kiafrika kanaitwa Burkina Faso.
hata mkipewa huyo, bado mtaitisha maandamanoDaaa! Hakuna namna tukabadilishana Marais?
PK ni kibaraka anae tesa na kuua Waafrica wenzie, Traore ni mzalendo anae wapenda watu wake na Africa nzima. PK pia anawapenda Watutsi tu, Wahutu hana time nao ingawa mdomoni mwake anadanganya eti hataki UKABILA Rwanda 😠 😡 👿Traole sasa anataka kuwa kama PK na stori za Ulela ulela
OkPK ni kibaraka anae tesa na kuua Waafrica wenzie, Traore ni mzalendo anae wapenda watu wake na Africa nzima. PK pia anawapenda Watutsi tu, Wahutu hana time nao ingawa mdomoni mwake anadanganya eti hataki UKABILA Rwanda 😠 😡 👿
Imekuwa shida sana kujua ukweli na fiks. Sasa hivi watamfanya Messiah. Inaonekana habari zake zinaleta sana engagements kwenye mitandao.🤣🤣.
Basi hapo walitaka kumpa credit huyo Traore!
Nishasema mara nyingi hapa kuwa huyo jamaa anapaishwa tu humu mitandaoni kwa habari za uongo uongo.
Habari zake hazina tofauti ni zile ‘nukuu’ za Robert Mugabe mitandaoni.
Kipindi cha uapisho wa Trump walizusha kuwa Traore alikataa mwaliko wa Trump wa kuhudhuria uapisho wake.
Si ajabu Trump hata hajui kuwa kuna kanchi ka Kiafrika kanaitwa Burkina Faso.
Tunakoenda atafanywa nabiii.Traole sasa anataka kuwa kama PK na stori za Ulela ulela