Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Apr 29, 2025 #21 Lycaon pictus said: Imekuwa shida sana kujua ukweli na fiks. Sasa hivi watamfanya Messiah. Inaonekana habari zake zinaleta sana engagements kwenye mitandao. Click to expand... Uongo rahisi kabisa kuaminika ni ule uongo ambao watu wanapenda kuuamini tayari. Many Africans are desperate for good leadership, and would like to believe this is it. So it is very easy to deceive them, because they already want to hear these stories of defiance and triumphalism. Even if the reality is different. Traore ana stories kibao nzurinzuri mitandaoni, ambazo ukizichunguza kidogo tu unakuta ni za uongo. Kwa nini?
Lycaon pictus said: Imekuwa shida sana kujua ukweli na fiks. Sasa hivi watamfanya Messiah. Inaonekana habari zake zinaleta sana engagements kwenye mitandao. Click to expand... Uongo rahisi kabisa kuaminika ni ule uongo ambao watu wanapenda kuuamini tayari. Many Africans are desperate for good leadership, and would like to believe this is it. So it is very easy to deceive them, because they already want to hear these stories of defiance and triumphalism. Even if the reality is different. Traore ana stories kibao nzurinzuri mitandaoni, ambazo ukizichunguza kidogo tu unakuta ni za uongo. Kwa nini?