Hujajibu swali upo nje ya madaDiamond hamuhitaji Ally kiba kufikia alipo ila Ally bila Diamond video zingeendelea kurekodiwa kwa kutumia simu
Hiyo hoja yako haina mashikoDiamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.
Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.
wewe ni nani uamue kipi kipo ndani ya mada kipi hakipo ??Hujajibu swali upo nje ya mada
Coz mm ndo nimeuliza so ndo naejua kuwa umetambaaa na mada au umepuyangawewe ni nani uamue kipi kipo ndani ya mada kipi hakipo ??
mada yenyewe imepuyanga na maswali yako ya hovyo hovyoCoz mm ndo nimeuliza so ndo naejua kuwa umetambaaa na mada au umepuyanga
Kama hii ndii sababu dogo anajitambua na anajua biasharaDiamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.
Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.
Kama hii ndii sababu dogo anajitambua na anajua biasharaDiamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.
Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.
so umekuja na majibu yako kabisa?Hiyo hoja yako haina mashiko
Coz umepuyanga hujatambaa na madaso umekuja na majibu yako kabisa?
Kwani mada si kaanzisha Yeye, Jibu kile kilichopo kwenye mada yake achana na mambo ya kupuyangawewe ni nani uamue kipi kipo ndani ya mada kipi hakipo ??
hapa si nimeandika mimi tatizo ni nini ?Kwani mada si kaanzisha Yeye, Jibu kile kilichopo kwenye mada yake achana na mambo ya kupuyanga
Umeona mkuu.....nilichouliza na alichojibu ni tofauti kabisa so kama ingekuwa mtihani ana 0.005%Kwani mada si kaanzisha Yeye, Jibu kile kilichopo kwenye mada yake achana na mambo ya kupuyanga
Unaendesha gari kwenye njia ya watembea kwa miguu, UJINGAhapa si nimeandika mimi tatizo ni nini ?
Ww ndo kama naona umeenda kidogo na madaMondi bin award's ni wakimataifa kachoka na makelele yenu ya kumlinganisha na yooooo ili apate kiki !!!..
Umevamia meli ya kigiriki jiandae kutatuliwaUnaendesha gari kwenye njia ya watembea kwa miguu, UJINGA