back town
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 471
- 365
wagiriki watu wabaya sana anaweza kukufanya mwanamke at long safari. then when reaching at end anakutupa majiniUmevamia meli ya kigiriki jiandae kutatuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wagiriki watu wabaya sana anaweza kukufanya mwanamke at long safari. then when reaching at end anakutupa majiniUmevamia meli ya kigiriki jiandae kutatuliwa
Diamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.
Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.
diamond ni balozi wa tigo au vodacom mbna maelezo yako yanaonekana ya kutungaTigo ni shareholder wa Zantel na wanamiliki 85% ya Zantel. Kwahiyo Zantel ni mali ya mmiliki wa Tigo. Nadhani umenielewa.
Nakujibu kiushabiki kama ulvojibuKwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.
Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
kiba akiacha muziki mond anapotea ana hit kupitia mgongo wa kibaMondi bin award's ni wakimataifa kachoka na makelele yenu ya kumlinganisha na yooooo ili apate kiki !!!..
we utakuwa huna akili,hembu jaribu kufikiri huyo kiba wako alikuwa kwenye game miaka mingapi hadi leo kuanza kumfananisha na mondi...mtu amekaa kwenye game miaka nenda rudi hakuna ubunifu wowote alioufanya hadi mtoto wa juzi kama mondi anakuja kuleta vitu vipya yeye analipi la kujisifu kwenye game hii ya bongofleva zaidi ya sauti yake tu??kiba akiacha muziki mond anapotea ana hit kupitia mgongo wa kiba
mond anajua anachokifanya ndo maana hakurupukiwe utakuwa huna akili,hembu jaribu kufikiri huyo kiba wako alikuwa kwenye game miaka mingapi hadi leo kuanza kumfananisha na mondi...mtu amekaa kwenye game miaka nenda rudi hakuna ubunifu wowote alioufanya hadi mtoto wa juzi kama mondi anakuja kuleta vitu vipya yeye analipi la kujisifu kwenye game hii ya bongofleva zaidi ya sauti yake tu??
Mfuate diamond kwake umuulizeJe hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
Kumbe shida yako tuseme ndio anamuogopa. Ok ndio anamuogopa, umeridhika?Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Yeah nimeridhika ndo jibu linalotakiwaKumbe shida yako tuseme ndio anamuogopa. Ok ndio anamuogopa, umeridhika?
Kama ni 0.005 basi siyo tofauti kabisa.Umeona mkuu.....nilichouliza na alichojibu ni tofauti kabisa so kama ingekuwa mtihani ana 0.005%