Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Status
Not open for further replies.
Mwakani bet lazima kiba awe nominated afu bila kolabo sasa
 
Diamond mwisho wake umefika ndo maana ameamua kuajir Vijana ili wamsitili. Na hizi tuzo zake za ujanja ujanja na figifu figusu Kama jamaa take wizkd na mhuni mwenzie tecno p3. Yaani diamond na professor lipumba ni sawa sawa maana wapo tiari wakuchawie ukose ingawa hushindani nao
 
Coz mm ndo nimeuliza so ndo naejua kuwa umetambaaa na mada au umepuyanga
Umeuliza huku unamajibu kichwani umekuja kupima iman za watu hapa mods fungia huyu jamaaa mala moja maana hataki kujifunza, unatakiwa ukubaliane na majibu wanayo toa watu kwa kulinhanisha na hoja yako lakin sio kukanusha kama ufanyavo
 
Ukweli ni hivi daimondi hajambiwa aende kwenye tigo Fiesta Halafu istoshe daimondi alikuwa na shoo Nigeria kwenye tuzo ya eatvaward hajachaguliwa sasa mnavyosema daimondi anamuogopa Alikiba amuogope kwa lini labda??
 
Umeuliza huku unamajibu kichwani umekuja kupima iman za watu hapa mods fungia huyu jamaaa mala moja maana hataki kujifunza, unatakiwa ukubaliane na majibu wanayo toa watu kwa kulinhanisha na hoja yako lakin sio kukanusha kama ufanyavo
Kaka hili ni jukwaa huru so jaribu kujiheshimu
 
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Hivi wewe 1/4 unajua maana ya mkataba kweli? Halafu show ya zanzibar ingekuwa ya halotel angevaa t-shirt ya vodacom? Ukishanijibu nitachangia mada
 
Mtoa mada hesabu tuzo alizopata Diamond kisha mlinganishe na Kiba....KIFUPI HAMUOGOPI ila wewe unadhani anamuogopaa...tigo na vod wanafanya kazi ya aina moja asingeweza kupafom chini ya wamilik wawili fiesta....KAMA ULISOMA MKATABA sawa wa Voda na DIAMOND
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Mondi keshatweta
 
jmaa hmuogop mtu..... ila yuko na akili ya kibiashara popote alipo.... na kiukwel jamaa anatakiwa kupewa heshma kubwa coz kaleta hamasa ya wasanii wetu kuzidi kutoboa anga kwa iman kila kitu chawezekana........
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Hahaha umesema povu linaruhusiwa! Dogo kwanza una umri gani? Sio wa 1999 wewe au 2000? Fiesta hakukimbia Bali alikuwa na ratiba ya show nyingine Nigeria Diamond sio mswahili kama queen kimba! Bila diamond queen kimba asingekuwepo hapo alipo kupitia Simba platnumz kutoa video south, kupiga show na dancers, kupiga collabo na wanigeria, wooote wanaiga
 
Kiba katoboa international bila kolabo upo
 
Ww ndo kama naona umeenda kidogo na mada
Dogo unatumia nguvu nyingi kutuaminisha queen kimba bado yupo juu zaidi ya Mond bin laden hivi ushawahi kumsikia Simba mond anasema yeye yupo juu kuliko queen kimba? Sasa iweje mnang’ang’ania wakati mondi hana . time
 
Mtoa mada hesabu tuzo alizopata Diamond kisha mlinganishe na Kiba....KIFUPI HAMUOGOPI ila wewe unadhani anamuogopaa...tigo na vod wanafanya kazi ya aina moja asingeweza kupafom chini ya wamilik wawili fiesta....KAMA ULISOMA MKATABA sawa wa Voda na DIAMOND
Alipata izo tunzo kipindi kiba kapumzika kufanya mziki ndo akamuachia upenyo domo ku-shine sasa mwenye kiti kesharudi mtajuta na huu ndo mwanzo tu
 
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
We mleta mada ndo umeileta hii mada kishabiki sababu ata majibu unayopewa bado una yakataa
 
Kiba katoboa international bila kolabo upo
Bila collabo?au unconditional bae sio collabo?
Hata hivyo baada ya diamond kutengeneza njia hawa wengine ndo wamefuata hata Raymond hana collabo ana nyimbo 2, tu katoboa kimataifa, wasanii sasahivi wanaenjoy baada ya diamond kuwafungulia dunia
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Anyway kwa kukusaidia diamond ni balozi wa voda na fiesta ilikua sponsored na tigo nadhani ushaelewa

Pili siku ya fiest diamond alikua na show za nje zilizokua zimeanza week mbili nyuma..... Hawezi kuacha kupiga mamillion kisa aje leaders kupigwa vumbi kwa laki saba.

Tatu tuzo ni mtu kuamua mwenyewe awepo au akatae.... Mbona kina nikki mbishi washakataaga tuzo kibao, kina one incredible, songa etc

Bila diamond ali kiba sawa na sifuri
 
Kaogopa kuaibika coz asingepata kitu...angeambulia garasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom