Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Status
Not open for further replies.
Kaogopa kuaibika coz asingepata kitu...angeambulia garasa
Endelea kuota ujinga, umesahau afrima, afrimma, hipipo kuto huko alikiba alikuwa lakini diamond kamcharaza vibaya sana.
We unazungumzia ujinga wa eatv awards?
Ulitaka diamond akakae foleni na manfongo kuchukua form?
Ukitaja Top 3 ya male artist in Africa diamond yupo ndoni.
Diamond ana show zambia na zimbabwe tu hapo , mwambie kiba akafanye show uone kama atazaja hata chumba
 
Kiba hana izo show off lkn akiamua anaweza jaza uwanja wa mpira....kma unakumbuka kuna jamaa ni muigizaji kutoka congo alifanya mahojiano na bongo5 akasema kiba anakubalika sana congo kuliko hata wiz na davido upo so akiamua anaweza
 
Congo? Nani kazungumzia congo hapa? Congo hata bongo movies wakina johari, ray kigosi, uwoya walienda wakapokelewa kama wafalme,
Mimi nazungumzia nchi kama Malawi, Zambia, Zimbabwe, **** huko parefu aende hata Uganda tu hapo uone kama atapata mtu , anacha na rwanda.
Umeshawahi sikia alikiba anafanya show Uganda au Rwanda?
Acha kumfanisha Diamond na vitu vya ajabu.
Alikiba kajitaidi sana show nje ya nchi ni Nairobi na Mombasa alafu ndo diamond amuogope?
Wakina wizkid , davido utasemaje sasa?
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Hivi hata unaja kwa nini Diamond hakuwepo kwenye fiesta?
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
We huna akili na pia nawacwac na elimu yako nahc umeishia primary.... Yan leo uache kula hela ndefu ya afrima huko uje kuperfom fiesta ya laki 3... We kichaa kwel aliyekuzaa kala hasara mtot c ridhik wew....
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
We huna akili na pia nawacwac na elimu yako nahc umeishia primary.... Yan leo uache kula hela ndefu ya afrima huko uje kuperfom fiesta ya laki 3... We kichaa kwel aliyekuzaa kala hasara mtot c ridhik wew....
Povu vepe
 
Diamond mwisho wake umefika ndo maana ameamua kuajir Vijana ili wamsitili. Na hizi tuzo zake za ujanja ujanja na figifu figusu Kama jamaa take wizkd na mhuni mwenzie tecno p3. Yaani diamond na professor lipumba ni sawa sawa maana wapo tiari wakuchawie ukose ingawa hushindani nao
Kiswahili ulichokitumia nimekipenda mfano tiari
 
Alipata izo tunzo kipindi kiba kapumzika kufanya mziki ndo akamuachia upenyo domo ku-shine sasa mwenye kiti kesharudi mtajuta na huu ndo mwanzo tu
Kumbe muanzilishi wa huu uzi team kiba, cjui kwanin watu wanapata shida kubishana na mtu kama wew, utoto unakusumbua nenda insta na fb kwa watoto wenzio
 
Bila collabo?au unconditional bae sio collabo?
Hata hivyo baada ya diamond kutengeneza njia hawa wengine ndo wamefuata hata Raymond hana collabo ana nyimbo 2, tu katoboa kimataifa, wasanii sasahivi wanaenjoy baada ya diamond kuwafungulia dunia
Huo ndio ukweli ambao hawa jamaa wa kariakoo hawautaki.
Diamond akistaafu muziki leo, uyo queen wao anapotea mazima
 
Bora WCB hawashiriki manake kelele zingekua nyingi hasa huko insta nimeona kuna shabiki mmoja wa Kiba huko insta anajiuliza mbona Mondi hayumo kwenye tuzo,walikuwa washajiandaa kwa mitusi Mondi kawakomesha.
 
Mashabiki wa kiba matusi ndo jadi yao, hata fiesta walipanga kakamzomee wakamkosa
Wanachoamin wao alikiba hawezi panda bila diamond kushuka, wamemkuta diamond ni mtu wa kujituma sana na mafanikio yanamfuata
 
Mashabiki wengine wanamharibu msanii wao bila wao kujua. Wakati Mondi akitaka kuuvusha mziki kidunia kuna kundi linataka apambane na wasanii wa nchi yake. Hovyo sana.

BTW Mondi yuko huku anafanya live show ndani ya coke Studio.. Sikiliza good music.
 
Attachments

Kwanza umeuliza swali ukiwa tayari una majibu yako ama huna majibu unataka kusaidiwa kupata jibu? Maana naona kama unatoa maelekezo watu wajibu kama utakavyo wewe
 
Mashabiki wengine wanamharibu msanii wao bila wao kujua. Wakati Mondi akitaka kuuvusha mziki kidunia kuna kundi linataka apambane na wasanii wa nchi yake. Hovyo sana.

BTW Mondi yuko huku anafanya live show ndani ya coke Studio.. Sikiliza good music.
Msimu huu mpya wa coke studio diamond hayumo bana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom