brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Endelea kuota ujinga, umesahau afrima, afrimma, hipipo kuto huko alikiba alikuwa lakini diamond kamcharaza vibaya sana.Kaogopa kuaibika coz asingepata kitu...angeambulia garasa
We unazungumzia ujinga wa eatv awards?
Ulitaka diamond akakae foleni na manfongo kuchukua form?
Ukitaja Top 3 ya male artist in Africa diamond yupo ndoni.
Diamond ana show zambia na zimbabwe tu hapo , mwambie kiba akafanye show uone kama atazaja hata chumba