Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza huku unamajibu kichwani umekuja kupima iman za watu hapa mods fungia huyu jamaaa mala moja maana hataki kujifunza, unatakiwa ukubaliane na majibu wanayo toa watu kwa kulinhanisha na hoja yako lakin sio kukanusha kama ufanyavoCoz mm ndo nimeuliza so ndo naejua kuwa umetambaaa na mada au umepuyanga
Kaka hili ni jukwaa huru so jaribu kujiheshimuUmeuliza huku unamajibu kichwani umekuja kupima iman za watu hapa mods fungia huyu jamaaa mala moja maana hataki kujifunza, unatakiwa ukubaliane na majibu wanayo toa watu kwa kulinhanisha na hoja yako lakin sio kukanusha kama ufanyavo
Una utoto na u team mwingi nenda fb huko ukasumbue vijana wenzioKaka hili ni jukwaa huru so jaribu kujiheshimu
Hivi wewe 1/4 unajua maana ya mkataba kweli? Halafu show ya zanzibar ingekuwa ya halotel angevaa t-shirt ya vodacom? Ukishanijibu nitachangia madaUmejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Mondi keshatwetaJe hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
Hahaha umesema povu linaruhusiwa! Dogo kwanza una umri gani? Sio wa 1999 wewe au 2000? Fiesta hakukimbia Bali alikuwa na ratiba ya show nyingine Nigeria Diamond sio mswahili kama queen kimba! Bila diamond queen kimba asingekuwepo hapo alipo kupitia Simba platnumz kutoa video south, kupiga show na dancers, kupiga collabo na wanigeria, wooote wanaigaJe hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
Kiba katoboa international bila kolabo upoHahaha umesema povu linaruhusiwa! Dogo kwanza una umri gani? Sio wa 1999 wewe au 2000? Fiesta hakukimbia Bali alikuwa na ratiba ya show nyingine Nigeria Diamond sio mswahili kama queen kimba! Bila diamond queen kimba asingekuwepo hapo alipo kupitia Simba platnumz kutoa video south, kupiga show na dancers, kupiga collabo na wanigeria, wooote wanaiga
Dogo unatumia nguvu nyingi kutuaminisha queen kimba bado yupo juu zaidi ya Mond bin laden hivi ushawahi kumsikia Simba mond anasema yeye yupo juu kuliko queen kimba? Sasa iweje mnang’ang’ania wakati mondi hana . timeWw ndo kama naona umeenda kidogo na mada
Alipata izo tunzo kipindi kiba kapumzika kufanya mziki ndo akamuachia upenyo domo ku-shine sasa mwenye kiti kesharudi mtajuta na huu ndo mwanzo tuMtoa mada hesabu tuzo alizopata Diamond kisha mlinganishe na Kiba....KIFUPI HAMUOGOPI ila wewe unadhani anamuogopaa...tigo na vod wanafanya kazi ya aina moja asingeweza kupafom chini ya wamilik wawili fiesta....KAMA ULISOMA MKATABA sawa wa Voda na DIAMOND
We mleta mada ndo umeileta hii mada kishabiki sababu ata majibu unayopewa bado una yakataaUmejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Moja ya. NNE tz bhanawewe ni nani uamue kipi kipo ndani ya mada kipi hakipo ??
Bila collabo?au unconditional bae sio collabo?Kiba katoboa international bila kolabo upo
Anyway kwa kukusaidia diamond ni balozi wa voda na fiesta ilikua sponsored na tigo nadhani ushaelewaJe hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
Kaogopa kuaibika coz asingepata kitu...angeambulia garasaAnyway kwa kukusaidia diamond ni balozi wa voda na fiesta ilikua sponsored na tigo nadhani ushaelewa
Pili siku ya fiest diamond alikua na show za nje zilizokua zimeanza week mbili nyuma..... Hawezi kuacha kupiga mamillion kisa aje leaders kupigwa vumbi kwa laki saba.
Tatu tuzo ni mtu kuamua mwenyewe awepo au akatae.... Mbona kina nikki mbishi washakataaga tuzo kibao, kina one incredible, songa etc
Bila diamond ali kiba sawa na sifuri