Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Status
Not open for further replies.
Kwenye Jamii hakuna jema wa baya inategemea upo upande gani angekuwa nominated kuna watu wangelalamika then Hayupo kuna watu wanamitazamo kama yako. Noma sana
 
Coz umepuyanga hujatambaa na mada
naona hata huna umakini wa kujua ujibu nini na nani unamjibu au unadhani mimi ndiye ukiye ni nukuu pale juuu?
Diamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.

Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.
jibu ulikonipa ulipaswa umjibu huyu
 
Use your common sense ,alikiba anafanya showw jukwani watu wanaita simba smba simba ........ Kwa maana hiyo angekuwepo watu wangemzomea sana kiba fiesta team wanaakili walipo ona jamaa kapata promo wakamwachia vilevile kule kulikuwa na hela nyingi zaid ya fieasta kwa kheri ubuyuu
Ulihudhuria fiesta lkn au ulisimuliwa
 
Kwenye Jamii hakuna jema wa baya inategemea upo upande gani angekuwa nominated kuna watu wangelalamika then Hayupo kuna watu wanamitazamo kama yako. Noma sana
Rudi kwenye mada je ni kweli ashaanza kuonyesha dalili za kuogopa
 
Kwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.

Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
 
Diamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.

Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.

Naunga mkono hoja

Napenda niongezee kuwa sio diamond pekee ila WCB wote hawajachkua fomu.....

Nimependa sana maana vijana wa WCB wana malengo makubw na wanafkria tuzo za kimataifa zaidi..

Mara ya mwisho tuzo za kili zilileta sintofaham hvyo WCB wametumia busara.........
 
Kwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.

Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
 
Tigo ni shareholder wa Zantel na wanamiliki 85% ya Zantel. Kwahiyo Zantel ni mali ya mmiliki wa Tigo. Nadhani umenielewa.
 
Hizo tuzo kaachiwa kiba mondi ni wakimataifa tangu lini simba akamkimbia swala
Naona ulichojibu na mada inavosema ni mpuyango og.....ebu irudie mada uielewe vzuri ndo u jaribu tena kujibu
 
Kwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.

Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
Hahahaaa umesahau amemzidi na umri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom