- Thread starter
- #21
Punguza jaziba kakaUmevamia meli ya kigiriki jiandae kutatuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza jaziba kakaUmevamia meli ya kigiriki jiandae kutatuliwa
naona hata huna umakini wa kujua ujibu nini na nani unamjibu au unadhani mimi ndiye ukiye ni nukuu pale juuu?Coz umepuyanga hujatambaa na mada
jibu ulikonipa ulipaswa umjibu huyuDiamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.
Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.
Ulihudhuria fiesta lkn au ulisimuliwaUse your common sense ,alikiba anafanya showw jukwani watu wanaita simba smba simba ........ Kwa maana hiyo angekuwepo watu wangemzomea sana kiba fiesta team wanaakili walipo ona jamaa kapata promo wakamwachia vilevile kule kulikuwa na hela nyingi zaid ya fieasta kwa kheri ubuyuu
Rudi kwenye mada je ni kweli ashaanza kuonyesha dalili za kuogopaKwenye Jamii hakuna jema wa baya inategemea upo upande gani angekuwa nominated kuna watu wangelalamika then Hayupo kuna watu wanamitazamo kama yako. Noma sana
Hujajibu swali upo nje ya mada
Diamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.
Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muogaKwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.
Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Mada gani? Hakuna hoja hapo ya kujibu inategemea na upeo wakoRudi kwenye mada je ni kweli ashaanza kuonyesha dalili za kuogopa
Kama umeuliza tayali unamajibu yako maana nakuona kichefuchefu tuCoz mm ndo nimeuliza so ndo naejua kuwa umetambaaa na mada au umepuyanga
Povu LA nn kakaKama umeuliza tayali unamajibu yako maana nakuona kichefuchefu tu
Naona ulichojibu na mada inavosema ni mpuyango og.....ebu irudie mada uielewe vzuri ndo u jaribu tena kujibuHizo tuzo kaachiwa kiba mondi ni wakimataifa tangu lini simba akamkimbia swala
Hahahaaa umesahau amemzidi na umriKwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.
Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
We ndio Umepuyanga na mada yako Kwanza ulitegemea nn hacha kumfananisha mondi na vitu vya ajabu ajabuNaona ulichojibu na mada inavosema ni mpuyango og.....ebu irudie mada uielewe vzuri ndo u jaribu tena kujibu