Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Status
Not open for further replies.
Diamond katambua kabisa kuwa endapo ata-be nominated kwenye tuzo hizo huku wadhamini wakiwa Coca Cola na Vodacom Tanzania ambao wote hao Diamond ni Balozi wao,utasikia FIGISU mtaani kuwa kapendelewa kwa sababu ya Ubalozi wake.

Sasa ili kuepusha Zali mwache Kiba agombee mwenyewe.

napinga asilimia zote
 
Nadhani hili swali hukumaanisha. Ulikua tu unatania. Na kwakweli utani wako unachekesha hahahahahahah
 
Kwanza Diamond asingeweza kuperform kwenye Fiesta kwasababu ya mkataba wake na Vodacom. Wakati Fiesta imedhaminiwa na Tigo.
Eatv awards mwanamziki mwenyewe ndio alipewa ruhusa ya kupeleka kazi yake na jina lake na sio mashabiki wala timu ya Eatv. Kwahiyo inaonyesha Diamond akupeleka kazi yake na jina lake ili awe kwenye list ya wanaoshindania hizo tuzo.

Na ata hivyo sioni sababu ya Diamond kumuogopa Ali Kiba kwasababu kamzidi kwa kila kitu. Level ya kimuziki,tuzo,utajiri,mashabiki,ngoma kali.
Ali Kiba kamshinda Diamond kwa kuwa na watoto wa3 tu.
Nakujibu kiushabiki kama ulvojibu
kwa kurudia nymbo za ndo kamzid kwanz diamond nymbo zake akipga live hakuna inayombamba
 
kiba akiacha muziki mond anapotea ana hit kupitia mgongo wa kiba
we utakuwa huna akili,hembu jaribu kufikiri huyo kiba wako alikuwa kwenye game miaka mingapi hadi leo kuanza kumfananisha na mondi...mtu amekaa kwenye game miaka nenda rudi hakuna ubunifu wowote alioufanya hadi mtoto wa juzi kama mondi anakuja kuleta vitu vipya yeye analipi la kujisifu kwenye game hii ya bongofleva zaidi ya sauti yake tu??
 
we utakuwa huna akili,hembu jaribu kufikiri huyo kiba wako alikuwa kwenye game miaka mingapi hadi leo kuanza kumfananisha na mondi...mtu amekaa kwenye game miaka nenda rudi hakuna ubunifu wowote alioufanya hadi mtoto wa juzi kama mondi anakuja kuleta vitu vipya yeye analipi la kujisifu kwenye game hii ya bongofleva zaidi ya sauti yake tu??
mond anajua anachokifanya ndo maana hakurupuki
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Mfuate diamond kwake umuulize
 
Kaamua kumuachia mzee wa kulia lia ili asije pata sababu ya kulalamikia kama kawaida yake.
 
Diamond juzi kwenye interview na sky wa bongo 5 alisema wazi anafocus kupeleka mziki wake mbele zaidi kuusambaza afrika nzima , ulaya na marekani hayo ndo malengo yake.
Akasema makelele ya nyumbani na kujionyesha mimi mkali kuliko fulani hayasaidii kukuza msiki wetu. Na akawasifia Navy kenzo na Vanessa mdee kwa kufocus kuufikisha mziki wao mbali
Sasa mtu kashashinda tuzo za Mtv mama, mtv world act , afrima, na afrimma kwa Africa amebakiza BET aanze kupigizana kelele kwenye Eatv awards? Haileti maaana
Diamond anaziara africa na UK
Zimbabwe , Zambia, Mayotte, Kenya, na show ya DSM , tour yake na NEYO huko UK kwenda kufafuta soka jipya mnataka aanze kupigizana kelele kwenye Fiesta ? Alafu ikiisha fiesta then kinafuata nini? Mziki haukui zaidi ya kelele na matusi mtandani.
Mwacheni Diamond afikishe mziki wake anapotaka haya makelele ya Tanzania yameshapitwa na wakati
Kwa ukubwa na Diamond kwa sasa inatakiwa Wizkid akija fiesta tanzania , basi Diamond anaenda fiesta ya Zambia au Ghana
Davido akija fiesta Tanzania , alikiba awe na uwezo na yeye kwenda angalau Fiesta ya Uganda ndo mziki wetu utakuwa
Sio wanakuja fiesta wizikid na Davido alafu diamond ma alikiba wanakuwa wasindikiza kelele tupu alafu tuseme ni wasanii wakubwa africa
 
Mbona jamaa ushajibiwa, diamond ni balozi wa voda na Coca ambao kwa pamoja ni wadhamini wa eatv awards, kaacha kwa sababu yanaweza kuibuka maneno na diamond, manake wabongo wana nongwa.kutoshiriki Fiesta simple voda na tigo wapinzani wakibiashara, kwa hiyo diamond kama brand ambassador wa voda hawezi shiriki simple, AU UNAJIBU LAKO UMEKUJA NALO KAMA VIP SEMA BASI TUKUPE MJI, UTUJIBU , MANAKE SWALI LAKO LIMEKAA KAMA KITENDAWILI manake majibu umepewa sasa unataka nn.
 
Naona kama hawa wenye kupromo kiba kupitia mondi kama wana ukakasi kwenye bongo wao

Mind ni msanii aneangalia mbele zaidi wala hasubiri kuputia kwenye mgongo wa msanii mwingine

Na wala hasubirii kupata tuzo za kukata rufaa au kwa mpira tungelisema za mezani point
 
teh! mbona mnatifuana wenyewe kwa wenyewe.. kiba huyu
 
Umejibu kishabiki.......kuhusu tigo kudhamin fiesta hiyo hoja haina mashiko mbona kesho anaenda kufanya show zanzibar iliyozaminiwa na cjui halotel.....ukweli jamaa ashaanza kuwa muoga
Kumbe shida yako tuseme ndio anamuogopa. Ok ndio anamuogopa, umeridhika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom