Sawa, na ni kweli kabisa..
Sawa, na ni kweli kabisa...
Ni kweli mabadiliko hayo yalifanyika
Una uhakika?....... Wewe na wenzako thibitisheni hili...
Three facts za kukujulisha kuwa hizi ni propaganda za kijinga kutoka kwa wajinga:
1. Ina maana Freeman Mbowe alifanya kikao kingine na kuondoa kipengere hicho?
2. Au alikuwa anachapa (kuichapicha) yeye hiyo katiba na kisha Kwa makusudi akaacha kukichapa kipengere hicho?
3. Je, ina maana toka wakati huo (yaani mwaka 2006 yalipofanyika mabadiliko hayo) hakujawahi kufanyika kikao kama hicho chenye mamlaka ya kufanya mabadiliko ya katiba na ili nyie wajumbe muhoji hiki unacho kihoji wewe leo na wajinga wenzako?
4. Je, si kweli kuwa mambo hayo huhojiwa kwenye vikao rasmi? Kama ulihoji ulijibiwaje? Kwanini unaleta umbea hapa?
Baada ya maelezo hayo hapo juu, wewe unaonaje? Ni kweli au ni ujinga na upumbavu wa wachache tu?
Labda na wewe u miongoni mwao..!!