NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Bwana Yesu apewe sifa.

Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.

Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.

Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
There is a reason why wanawake mmewekewa seal huko chini, chungeni sana hilo.

Hakikisha only mwenye mali ndo anatoa hiyo seal otherwise utakuwa jamvi la wageni, mafikio ya kila ajae na wote wanalicha hapo hapo likizidi kuchakaa siku hadi siku.
 
Kabla ya kufikiria kumuoa mwanamke wa hivyo ni vizuri mwanaume kujiuliza swali, Je ni sahihi mwanaume kuoa mwanamke malaya? why?
 
Binafsi naamini ni kheri mwanaume akaishi bila kuoa kuliko kuoa mwanamke malaya, na umalaya wa mwanamke tunaupima kuanzia kwenye background yake, mwache mwanamke awe huru kwenye maamuzi yake ili kesho nawe uwe huru kumuhukumu.
 
Back
Top Bottom