NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Mwanamke akishakua na historia ya kuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya watatu(kwa vipindi tofauti(, hiyo ni red flag 🚩 bro.

Usikimbilie kuoa, jaribu kuchunguza kidogo.
Neno sana mkuu. Na ukute hawa vyuon wameishi na msela 1,2 or 3yrs unakuja kuoa mtu katoa mimba za kutosha inshot bora single maza
 
Hapo unakutana ashakutana na mandume wenye mitambo ya 10+inch. Mtu anatindua K kwa masaa mawili na dakika thelathini. Au anakesha usiku mzima anapelekwa moto, toka saa moja na nusu usiku mpaka saa mbili na nusu asubuhi, mpaka kitanda kinavunjika.

Anakuja kuolewa na mme kibamia inch4 anayekojoa kwa sekunde thelathini 🤣🤣🤣 atateseka mno
Hawa wa chuo sio wakuoa
 
Neno sana mkuu. Na ukute hawa vyuon wameishi na msela 1,2 or 3yrs unakuja kuoa mtu katoa mimba za kutosha inshot bora single maza
Kutoa mimba hakufanyi usiwe single mother sijui kwanini mmekariri hii kitu unaweza ukawa ni single mother but ukawa na historia ya kutoa mimba
 
Kutoa mimba hakufanyi usiwe single mother sijui kwanini mmekariri hii kitu unaweza ukawa ni single mother but ukawa na historia ya kutoa mimba
Watu wanaangalia kinachoonekana. Sema kwa kizazi kilichopitia vyuon mimba wametoa sana
 
Watu wanaangalia kinachoonekana. Sema kwa kizazi kilichopitia vyuon mimba wametoa sana
Wanawake wana siri mkuu unakuta hapo ana watoto wawili but katoa mimba kama 3 naongea haya ninajua mkuu nimewahi kutoka na mahusiano na single mother mwenye watoto watatu na alikuwa muwazi akaniambia amewahi kutoa mimba 2 hapo kabla ndio maana shangaa kwanini watu wamekariri watoaji wa mimba eti ni wale tu ambao sio single mother
 
Nimekusoma mkuu
 
Hawa mara nyingi wakitulia wanakuwa watu wema na wanaweza kusimamia familia vizuri.Mtumishi wa Mungu unatakiwa kumwamini Mungu katika yote ya kuwa anaweza kumwokoa mtu dhambini akawa ni mtu wa kufaa.Lakini kabla hujaoa muuluze Mungu akupe hakika kama huyo mtu atakufaa.Mara nyingi rafiki yangu ni mtumishi mahali aliniambia changamoto za ndoa yake jinsi ambavyo mke wake alimnyima unyumba na hataki kusikia khabari kabisa.Kwa hyo kabla hujaolewa/kuoa Omba Mungu akupe mtu ambaye mtaweza kuishi pamoja.hata mwanamke kicheche Kuna aina ya mwanamume akikutana nae wanatumia na maisha yanaendelea vizuri.
 
Kiukweli hilo jambo halina kanuni maalumu.
Unakuta mwanamke mwingine ametoa mimba nyingi sana kisha inatokea mimba moja inagoma kuchomoka inabidi azae bila kupenda kisha baadae anakuja kuwa single mother.
Wanawake wana siri mkuu unakuta hapo ana watoto wawili but katoa mimba kama 3 naongea haya ninajua mkuu nimewahi kutoka na mahusiano na single mother mwenye watoto watatu na alikuwa muwazi akaniambia amewahi kutoa mimba 2 hapo kabla ndio maana shangaa kwanini watu wamekariri watoaji wa mimba eti ni wale tu ambao sio single mother
 
Mwanamke aliyedate na wanaume wengi automatic sexual desire yake inashuka, whatever utachomfanyia ataanza kukulinganisha na Wanaume wake waliopita, the way unavyomjali ataanza kukufananisha na John, Sexual energy yako unavyomkaza atakufananisha na Juma, shortly wanawake wenye body count kubwa huwa wana comparison nyingi sana kwa kila mwanaume mpya atakaeanza kudate nae, itakubidi wewe ufit nafasi za wanaume wake wote waliopita ili aweze kutulia na wewe, that's why ni ngumu sana kudumu na mwanamke wa aina hii.
 
Bwana Yesu apewe sifa.

Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.

Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.

Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
Hahaha
 
Back
Top Bottom