Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza kutulia kabisa , mda mwingne mwanamke anatumika sana kusaka mtu sahihi , kama unavyojua ni ngumu kuwa kwenye mahusiano bila kutumiana.
Kwahiyo binti mwenye body count hata 50 wewe hujali?Anaweza kutulia kabisa , mda mwingne mwanamke anatumika sana kusaka mtu sahihi , kama unavyojua ni ngumu kuwa kwenye mahusiano bila kutumiana.
Utapimaje sasa wengi wanayo mpka 10000 , na wapo kawaida tu si inarudi tu .Kwahiyo binti mwenye body count hata 50 wewe hujali?
Sawa kaka Shimba kausake utafitiNimechelewa kuuona huu uzi. Kuna ushahidi wa kisaikolojia kwamba kwa kadri mwanamke anavyokuwa na body count kubwa ndivyo uwezo wake wa ku-bond na mmoja wao huko mbele ya safari unavyopungua. Labda tu atakuja kujifanyisha baada ya kuona mileage zimesoma lakini ile contentment kihisia kuridhika na mtu mmoja inakuwa ngumu sana.
Ngoja nikausake huo utafiti nitarudi lakini inavyoonekana, the less the body count, the better - physically, spiritually and emotionally!
Kwa hiyo kama alikua akipakiwa mkongo 😂😂Siku zote mwili wa binadamu una tabia ya kukumbuka past events, hivyo events zikiwa nzuri au mbaya zitakumbukwa na kufananishwa na currently events. Hapo ndio matatizo huanzia ie Yule alihonga sana huyu bahili, yule alizagamua vizuri huyu kimoko Chali, Yule alikuwa handsome huyu Chikumbalaga etc hapo ndipo msimamo huishaga😂😂😂😂
Mwanaume hatumiki sana,anatumia sana!!Na mwanaume ambaye ametumikana sana naye tunamsemeajeeeeeee!!!!!!!
Mmoja kuwa me na mwingine kuwa ke tyr inadhihirisha watu hao sio sawa ni tofauti kwa kila kitu hivyo hawawezi kulingana wala kuwa sawa ~ hakuna usawa baina ya me na ke kwa kila kitu. UumbajiSawa kwa nin kusiwe na kuzingatiwa kote na ni kwa mwanamke pekee?
Hichi hua najiuliza sana
HaswaaahSawa ww uko serious
Sa kumbe hujauona afu unasema nini.Nionyeshe userious wako basi
Umekosea ujumbe.Usiponionyesha nitajua vp?
Teh teh teh kuna mada nyingine,zikianza,nadhani walengwa hupita kimya kimyaaaaWewe mnato wa mama mtu mzima umeujuaje?
Maumbile hutofautiana kati ya mtu na mtu. Vivyo hivyo kwa elasticity.
Kuna mabinti hata mtoto hajapita, ila ana shimo la nguchiro. Kubwa ka pango la nguruwe pori.
Sikia bro,Bwana Yesu apewe sifa.
Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.
Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.
Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜