NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Nimechelewa kuuona huu uzi. Kuna ushahidi wa kisaikolojia kwamba kwa kadri mwanamke anavyokuwa na body count kubwa ndivyo uwezo wake wa ku-bond na mmoja wao huko mbele ya safari unavyopungua. Labda tu atakuja kujifanyisha baada ya kuona mileage zimesoma lakini ile contentment kihisia kuridhika na mtu mmoja inakuwa ngumu sana.

Ngoja nikausake huo utafiti nitarudi lakini inavyoonekana, the less the body count, the better - physically, spiritually and emotionally!
Sawa kaka Shimba kausake utafiti
 
Siku zote mwili wa binadamu una tabia ya kukumbuka past events, hivyo events zikiwa nzuri au mbaya zitakumbukwa na kufananishwa na currently events. Hapo ndio matatizo huanzia ie Yule alihonga sana huyu bahili, yule alizagamua vizuri huyu kimoko Chali, Yule alikuwa handsome huyu Chikumbalaga etc hapo ndipo msimamo huishaga😂😂😂😂
Kwa hiyo kama alikua akipakiwa mkongo 😂😂
 
Sawa kwa nin kusiwe na kuzingatiwa kote na ni kwa mwanamke pekee?
Hichi hua najiuliza sana
Mmoja kuwa me na mwingine kuwa ke tyr inadhihirisha watu hao sio sawa ni tofauti kwa kila kitu hivyo hawawezi kulingana wala kuwa sawa ~ hakuna usawa baina ya me na ke kwa kila kitu. Uumbaji
 
Wewe mnato wa mama mtu mzima umeujuaje?

Maumbile hutofautiana kati ya mtu na mtu. Vivyo hivyo kwa elasticity.

Kuna mabinti hata mtoto hajapita, ila ana shimo la nguchiro. Kubwa ka pango la nguruwe pori.
Teh teh teh kuna mada nyingine,zikianza,nadhani walengwa hupita kimya kimyaaaa
 
Bwana Yesu apewe sifa.

Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.

Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.

Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
Sikia bro,
Kufanya matusi na mwanamke yoyote, kuna waunganisha katika ulimwengiu wa kiroho.
Kwamba hata kama umeoa, kwa ndoa "takatifu" na mwanamke (ambaye ameisha tumika)
Kaa ukijua, uko kwenye ndoa shirikishi.
Mwanamke akiisha olewa, hawez
images.jpeg
i toka na wanaume wapya.
ila wale wa mwanzo amsha amsha ipo kama kawa.
 
Wanasemaga always mwanaume anangaliaga past ya matendo ya mwanamke na mwanamke yeye anangaliaga future (kiuchumi) ya mwanaume.

Zunguka duniani kote wanaume wote kwenye kuoa tunaangaliaga purity na ndio maana kwenye jamii zote,kutoka sehemu mbalimbali duniani huthamini bikra ya wanaume na hamna sehemu labda waliandika kwamba wanaume duniani kote walikutana na kuamua hivyo.

Fedha imeharibu sana mapenzi na ndio maana siku hizi wanawake walio wengi wanakitembeza sana,huku bikra zikiwa hadimu na hata hao wa low body counts wameanza kuhadimika.Fedha imefanya ngono imekuwa rahisi sana,zamani wanadai kukubaliwa ilikuwa shughuli, kupewa mchezo inaweza ikapita hata miaka miwili,ndio maana wazee walikuwa wanawathamini. Fedha imerahisisha sana ngono,sasa hivi wana wanatembeza miti kama hawana akili nzuri.

Ila siku hizi mmmhhhh unakuta demu ana vikoba,michezo majina matatu,kodi ya nyumba ,hajala,hajavaa,hajapendeza na issue mjini hana na hata kama anayo hamtoshelezi,lazima atanue miguu.Atawapanga wanaume na kila mmoja atapewa jukumu lake.
 
Back
Top Bottom