Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kuna mambo mengine yanachekesha sana na kutafakarisha sana imagine mjini kuna vijwe vya wavuta bangi lukuki tena karibia kila mtaa na vina fahamika. Ajabu ni kwamba kuna baadhi ya police wanaishi maeneo hayohayo wanapita wanaona na hawajari.
Kuna mahali tulipita na jamaa tukakuta shina la bangi kubwa kimo cha mtu na lina picha ya luck Dube imening'inizwa pale.
Huwa na jiuliza police hamuoni hivyo vijiwe au ni makusudi tu na hamna habari?
Mimi nijuavyo bangi kuizuia ni ngumu sana kwani WANA ni wengi mno vigogo kwa vidagaa yaani kuanzia msingi hadi paa WANA ni wengi mno sema wanavuta kwa kujificha.
Kuna ulazima gani wa kuizuia bangi kulimwa ili hali kuvutwa inavutwa peupe kabisa...Humu tumepiga kelele sana kuwa bangi iruhusiwe.Maana kuthibiti mmeshindwa mimi tangu najitambua hadi nimekua mtu mzima bangi ni haramu lakini wavutaji ni wengi kuliko wavuta tumbuku hili nina uhakika nao.
Ni ngumu sana kumkuta kijana anavuta sigara ya tumbaku ila ni rahisi sana kijana hiyo kumbaini ana vuta msuba..
Vijiwe vingi vya wavuta bangi vinavyoogopwa mara nyingi sio bagi tu inavutwa hapo mara nyingi bangi kama mlainisho lakini vijiwe vingi wanatumia unga.
Bangi ni sawa na SACRAMENT ya marasta