Ni kweli kuwa Polisi hamvitambui vijiwe vya wavuta bangi mitaani au makusudi?

Tuna rumande za kuwajaza hao wavuta bhange ?!!

Tuna magereza ya vyuo vya "mafunzo" ya kuweza kuwaweka na kuwalisha hao wavuta bhange mpaka mwisho wa vifungo vyao ?!!!

Kama tuko vizuri basi tujiandae MAHAKIMU WETU kuendesha hizo kesi za mibangi tu na magereza zijae hao VISOI WAPULIZAJI.......
 
Wavuta bangi sio threat kwa watawala ila jumuia kama neto ndio huwafanya watawala wasilale kwani huamsha mbumbu wengi waliolala kama akina lucas,Tlaatlaah, chiembe na chawa wengine wanaoshinda kwenye coridor za lumumba kusubiri mzee wasi ajisaidie wao wakatupe pampas jalalani
Jumuiya ya NETO ina usajili Mwayego ?!!
 
Tuna rumande za kuwajaza hao wavuta bhange ?!!

Tuna magereza ya vyuo vya "mafunzo" ya kuweza kuwaweka na kuwalisha hao wavuta bhange mpaka mwisho wa vifungo vyao ?!!!

Kama tuko vizuri basi tujiandae MAHAKIMU WETU kuendesha hizo kesi za mibangi tu na magereza zijae hao VISOI WAPULIZAJI.......
Mvuta bangi hana madhara yoyoye Bali wala unga
 
Kuna mambo mengine yanachekesha sana na kutafakarisha sana imagine mjini kuna vijwe vya wavuta bangi lukuki tena karibia kila mtaa na vina fahamika. Ajabu ni kwamba kuna baadhi ya police wanaishi maeneo hayohayo wanapita wanaona na hawajari.

Kuna mahali tulipita na jamaa tukakuta shina la bangi kubwa kimo cha mtu na lina picha ya luck Dube imening'inizwa pale.

Huwa na jiuliza police hamuoni hivyo vijiwe au ni makusudi tu na hamna habari?

Mimi nijuavyo bangi kuizuia ni ngumu sana kwani WANA ni wengi mno vigogo kwa vidagaa yaani kuanzia msingi hadi paa WANA ni wengi mno sema wanavuta kwa kujificha.

Kuna ulazima gani wa kuizuia bangi kulimwa ili hali kuvutwa inavutwa peupe kabisa...Humu tumepiga kelele sana kuwa bangi iruhusiwe.Maana kuthibiti mmeshindwa mimi tangu najitambua hadi nimekua mtu mzima bangi ni haramu lakini wavutaji ni wengi kuliko wavuta tumbuku hili nina uhakika nao.

Ni ngumu sana kumkuta kijana anavuta sigara ya tumbaku ila ni rahisi sana kijana hiyo kumbaini ana vuta msuba..

Vijiwe vingi vya wavuta bangi vinavyoogopwa mara nyingi sio bagi tu inavutwa hapo mara nyingi bangi kama mlainisho lakini vijiwe vingi wanatumia unga.

Bangi ni sawa na SACRAMENT ya marasta
Allstar zimeanikwa juu ya nyaya za umeme....Hata hapo chini hawaoni?

1740546199801.png
 
Wanajua sana sema wanawaacha vijana waliongezee taifa kipato kupitia GREEN ECONOMY
 
Mtaani napokaa iwe asubuhi, mchana jua kali watu wanavuta madude Yao
Usiku ndio unao Vitaa kitawaka hiki kinazima hiki Kama taa za mti wa Christmas.
 
Back
Top Bottom