Ni kweli kuwa Polisi hamvitambui vijiwe vya wavuta bangi mitaani au makusudi?

Ni kweli kuwa Polisi hamvitambui vijiwe vya wavuta bangi mitaani au makusudi?

Mtaani napokaa iwe asubuhi, mchana jua kali watu wanavuta madude Yao
Usiku ndio unao Vitaa kitawaka hiki kinazima hiki Kama taa za mti wa Christmas.
Kuna boma buhongwa mwanza nililiona limemea bangi nyingi mno na watu wanapita wala hawana habari
 
Kuvuta ganja kuna shida gani man?
Unajua mpaka nashidwa nisemaje
maana haya tumeshayajadili sana humu kwamba Ganja haina shida yoyote ile
ila shida ni yule anaetumia!
 
Back
Top Bottom