Ni kweli kuwa Polisi hamvitambui vijiwe vya wavuta bangi mitaani au makusudi?

Tuna rumande za kuwajaza hao wavuta bhange ?!!

Tuna magereza ya vyuo vya "mafunzo" ya kuweza kuwaweka na kuwalisha hao wavuta bhange mpaka mwisho wa vifungo vyao ?!!!

Kama tuko vizuri basi tujiandae MAHAKIMU WETU kuendesha hizo kesi za mibangi tu na magereza zijae hao VISOI WAPULIZAJI.......
 
Jumuiya ya NETO ina usajili Mwayego ?!!
 
Mvuta bangi hana madhara yoyoye Bali wala unga
 
Allstar zimeanikwa juu ya nyaya za umeme....Hata hapo chini hawaoni?

 
 
Wanajua sana sema wanawaacha vijana waliongezee taifa kipato kupitia GREEN ECONOMY
 
Mtaani napokaa iwe asubuhi, mchana jua kali watu wanavuta madude Yao
Usiku ndio unao Vitaa kitawaka hiki kinazima hiki Kama taa za mti wa Christmas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…