Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Feb 26, 2025 Thread starter #41 Faana said: Bangi ihalalishwe kuweza kutumika, Ila iruhusiwe aina hii tu, nasimama na Tuntemeke wa Iringa Mrembo anakiwashaa hapa tuendelee kuburudikaa www.jamiiforums.com Click to expand... Hii uhakika asee.Hakuna haja ya kufukazana na wakulima wa bangi
Faana said: Bangi ihalalishwe kuweza kutumika, Ila iruhusiwe aina hii tu, nasimama na Tuntemeke wa Iringa Mrembo anakiwashaa hapa tuendelee kuburudikaa www.jamiiforums.com Click to expand... Hii uhakika asee.Hakuna haja ya kufukazana na wakulima wa bangi
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Feb 26, 2025 Thread starter #42 JUA ni Kali Sana said: Wapo polisi wavuta bangi pia Click to expand... Hii iko wazi
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Feb 26, 2025 Thread starter #43 Nedlloyd said: Mtaani napokaa iwe asubuhi, mchana jua kali watu wanavuta madude Yao Usiku ndio unao Vitaa kitawaka hiki kinazima hiki Kama taa za mti wa Christmas. Click to expand... Kuna boma buhongwa mwanza nililiona limemea bangi nyingi mno na watu wanapita wala hawana habari
Nedlloyd said: Mtaani napokaa iwe asubuhi, mchana jua kali watu wanavuta madude Yao Usiku ndio unao Vitaa kitawaka hiki kinazima hiki Kama taa za mti wa Christmas. Click to expand... Kuna boma buhongwa mwanza nililiona limemea bangi nyingi mno na watu wanapita wala hawana habari
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 1,568 Reaction score 1,923 Feb 26, 2025 #44 Kuvuta ganja kuna shida gani man? Unajua mpaka nashidwa nisemaje maana haya tumeshayajadili sana humu kwamba Ganja haina shida yoyote ile ila shida ni yule anaetumia!
Kuvuta ganja kuna shida gani man? Unajua mpaka nashidwa nisemaje maana haya tumeshayajadili sana humu kwamba Ganja haina shida yoyote ile ila shida ni yule anaetumia!
J JUA ni Kali Sana JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 1,202 Reaction score 1,543 Feb 26, 2025 #45 Kabisa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Hii iko wazi Click to expand...