Ni kweli kuwa wanaume ambao hawanywi Pombe ni Balaa kwa Kupenda Ngono?

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao
 
welll umekuwa eratic kwenye hoja yako lakini nimekuelewa ..............mimi ni mmojawapo wa wasipiga massanga nadhani tunaponzwa na ustraight forward wetu.............sitaweza kupiga round mara 3 mara nne bar nikisubiria........nahit kwenye point ikiwa nimemuhusudu huyo mtu; na nyie wenzetu mnaweza mkatumia sana unywaji na wenzenu kama cover lakini mwisho wa siku mkaishia kuomba tundi..................so uchunguzi wako si wa kweli!
 
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.
 

Utafiti wako hauna mashiko.

Sample size yako ni ndogo sana.
Hata wanaokunywa wengi wana sifa hizo hizo kwa hiyo si kwa wasio kunywa tu.
 
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.
hamna kitu hapo_vyote vyote ndio mpango mzima.
 
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.


Sasawatu wote wakiwa wastaarabu. Na jinsi wanawake mlivyowengi hivi. Nani atawapatia huduma??
 
Watu wawili tu ndio umeconclude hivyo!! Hebu rudia tena huo utafiti wako.
 

mbona unakwepa kwepa alafu hujiamini?
Be straight forward bana, maana unaanza kujitetea kabla makombora ya
Bibi yetu FF hayajakufikia.
 
hakuna kitu kama hicho,ni hulka ya mtu tu! me mbona sipigi kilevi na sifanyi hivyo unavyosema!!!.... ni mtu na mtu tu!!!!
 
Inamaana walokole wote wanapenda ngono?
 
Nafikiria hiyo 80% ameipataje??? wanajua hesabu jamani nisaidieni, watu wawili wataleta vp hyo 80%???
 
Huu utafiti wako hauna tofauti na kipima joto cha ITV wanahoji watu watatu halafu wanakwambia asilimia 80 wanakubali...
 
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.

Lakini mbona tafiti zinaonyesha ulevi ndio unaochangia maambukizi ya ukimwi kwa asilimia kubwa? Hapa naona jf ni kama inatumika kupotosha watu na ukweli. Ktk hili umehitimisha kijinga na kilevilevi zaidi!
 
Mmh!mbona mna2pa wasiwasi kwa 2lio na ma boyfrnd wasio walevi!?
 

Duuuuuuu! kweli dunia inaelekea kwisha, utafiti wa sample 2, na hitimisho kubwa kiasi hiki. Inawezekana wewe au mimi mmoja wetu ni 'mwendawazimu' ktk hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…