arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Hayaaa weeeeeeeeeeeeee! hilo nalo sio neno,ebu chunguza tena halafu urejeee tena JF....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mkiwa mmeshapata ile mambo mnakuwa mnafunguka tu..points zinamwagika ile mbaya. mnakuwa familia moja, hamna anayembania mwenzake tofauti na mkiwa sobber!Wanywaji hawakosi sababu.
Niliwahi kaa mahali, pombe free
Hakuna aliyekubali kunywea home
Watu wote walikuwa wanatoroka kwenda bar
Si yale mambo yetu
Nayo ni pull factor.
Mara umecmtania, mhudumu hebu njoo hapa, akija "una mcho mazuri"
Anacheka tu anaondoka, afu ww unashushia na fundo huku ukimsindikiza kwa macho
Ina raha yake jamani
Hivi deals kuanzia asubuhi umekosa ofisini?
Hii huwa siinunui
research yako ina mapungufu
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.