Ni kweli kuwa wanaume ambao hawanywi Pombe ni Balaa kwa Kupenda Ngono?

Ni kweli kuwa wanaume ambao hawanywi Pombe ni Balaa kwa Kupenda Ngono?

Hayaaa weeeeeeeeeeeeee! hilo nalo sio neno,ebu chunguza tena halafu urejeee tena JF....
 
Wanywaji hawakosi sababu.
Niliwahi kaa mahali, pombe free
Hakuna aliyekubali kunywea home
Watu wote walikuwa wanatoroka kwenda bar
Si yale mambo yetu
Nayo ni pull factor.
Mara umecmtania, mhudumu hebu njoo hapa, akija "una mcho mazuri"
Anacheka tu anaondoka, afu ww unashushia na fundo huku ukimsindikiza kwa macho
Ina raha yake jamani

Hivi deals kuanzia asubuhi umekosa ofisini?
Hii huwa siinunui
Unajua mkiwa mmeshapata ile mambo mnakuwa mnafunguka tu..points zinamwagika ile mbaya. mnakuwa familia moja, hamna anayembania mwenzake tofauti na mkiwa sobber!
Hamna rafiki wala ndugu wa kweli kazini. Kazin unatakiwa umaintain tu ile work relationship!
 
Unaonekana hujui utafiti ni ni na unapaswa ufanyweje! Sample space 2 people result 80%? Unamaanisha nin maana 80% ya 2 ni 1.6...then resul t unageneralize kwa watu mamilion?
 
Mathematically km ulichukua watu wawili as sample na kwa pamoja wakawa victim basi ulitakiwa uwe umefaulu utafiti kwa asilimia mia...nikirekebisha hiyo % nadhani hii ni hulka ya mtu binafsi,unaweza ukawa cha pombe na bado pombe ikawa inakuelekeza kufungua zipu tu of which wengi huishia pabaya kwa kukosa umakini kwa kua kichwani kua additional factor. Kundi la pili ni la wasiotumia pombe ambao nao baadhi...narudia, baadhi ni maveterani wa kufufua zipu of which effect yao ni double impact kwa kua pale anamaliza na hamu ya pombe (asopata kuinywa)...
 
Kitu kimoja ni kupenda wanawake, chengine ni nguvu za mchanyato. Kupenda wanawake nahisi hakutegemei hunywi au unakunywa, ni hulka binafsi za watu. Na bado kuna uwezekanao kwa wanywaji kupenda wanawake sana kwa sababu pombe inatoa haya "kidogo". lakini linapokuja swala la uwezo wa mchanyato, nahis wasio kunywa (wala kuvuta) wanahimili mikiki zaidi zaidi kuliko wanywaji. Na hii inathibitisha dhana ya Nyumba Kubwa; bwamkubwa hanywi lakini kila mtaa anaopita anaweka mbegu.
 
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.

Sio kwamba wasiokunywa wanapendwa zaidi wanawake? Ni wanawake wangapi wanapenda wanaume walevi?
 
1.For we researchers ,sample siyo representative
2.hao wanaume wanaokunywa pombe ndo hatarii kabisa maana akishakunywa,akalewa basi atajikuta anafanya ngono na mtu ambaye hakutarajia/au akiwa hajanywa hawezi kufanya naye ngono.
 
ukiachilia research yake kuwa na mapungufu,ki ukweli wasiokunywa pombe ulevi wao unahamia kwa wanawake ndo ukweli wenyewe
 
hiyo ni kwel koz wengi wao wanatumia wanawake kuwa ndo ulevi wao, so ni better m2 ukawa mlevi wa pombe radher than huo wa wanawake! upo sahihi kabisa mkuu.

Hili inabidi lieleweke ulevi huchangia ngono kwa asilimia kubwa maana mlevi yeyote akishalewa kinachofatia ni wazo la ngono
Kama unabisha anzisha bar na weka wahudumu wanaume uone wateja wangapi utawapata ktk baa yako.
Si hivyo tu bali ngono zembe zinazochangia maambukizi ya HIV kwa kiasi kikubwa huanzia ktk ulevi.
Nahitimisha kwa kusema kwamba Si kweli kuwa wasiokunywa pombe wanapenda ngono zaidi bali ni hulka ya mtu husika maana mimi sinywi pombe si kwa sababu ya dini,malazi,nk. ni uamuzi tu na sina tabia ya kupenda ngono hovyo hovyo kama usemavyo.
Fanya uchunguzi wa maana si kukurupuka humu jf.
 
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao[/QUOTE]


Mkuu sample ya watu wawili haitoshi kutoa conclusion.
 
Back
Top Bottom