mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao