Inamaana walokole wote wanapenda ngono?
Lakini mbona tafiti zinaonyesha ulevi ndio unaochangia maambukizi ya ukimwi kwa asilimia kubwa? Hapa naona jf ni kama inatumika kupotosha watu na ukweli. Ktk hili umehitimisha kijinga na kilevilevi zaidi!
Na wale ambao hawajaoa? Au ndio wanakulana na waimbaji kwaya?Wanapenda sana, uzuri wanafanya na wake zao halali.
Mmh!mbona mna2pa wasiwasi kwa 2lio na ma boyfrnd wasio walevi!?
Na wale ambao hawajaoa? Au ndio wanakulana na waimbaji kwaya?
Aise mi naona bila kunywa pombe mtu unaishia kuwa maskini. Ndio maana basi walokole wengi wamechoka. Dili nyingi zinapatikania kwenye pombe! Halafu unajiepusha na maradhi.Kama umegundua wanakuwa na mahusianio humo humo kanisani, na mara nyingi mahusiano hayo huishia kwenye ndoa.
Afu wanajitahidi kuona mapema, lakini wapiga mambo unamkuta mtu sura inajikunja bado anamalizia ujana ndo aoe.
Na kina sisi tuliokuwa wanywaji halafu tukaacha? Ulevi noooma!nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.

Napata shida mkuu jinsi gani ume conclude kwa kutumia sample ya watu wawili !!! then matokeo 80% ningetemea 0%, 50% au 100% , kifupi size ya sample ni ndogo sana kukupa picha halisi.nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao
Mmh!mbona mna2pa wasiwasi kwa 2lio na ma boyfrnd wasio walevi!?
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao
Aise mi naona bila kunywa pombe mtu unaishia kuwa maskini. Ndio maana basi walokole wengi wamechoka. Dili nyingi zinapatikania kwenye pombe! Halafu unajiepusha na maradhi.
kwa dunia ya sasa binadamu lazima uwe na tabia mojawapo au zote kati ya hizi.
1. Mzinzi
2.Mlevi wa pombe
3.Mshirikina
4.Mbea(tupo wengi hapa.....jua haliwezi kutua bila kumsema mtu vibaya au vizuri.. Au kusimulia habari za watu live au kwa simu au kwa kuandika.......anayebishi aseme HAaa!!)