Ni kweli kuwa wanaume ambao hawanywi Pombe ni Balaa kwa Kupenda Ngono?

Mia naona ni kweli, pump yeyote lazima iwe na kupumlia.
Wanapenda kama chakula, ila wengi hujitahidi kuwa underdogs, wanajificha.
Ila poa tu raha jipe mwenyewe.
Dunia yenyewe iko half its life.
 
Maambukizi ya ukimwi vinarndana sababu ukishapiga mambo yetu sangapi utakumbuka salama. Unapiga kitu live on stage

Lakini mbona tafiti zinaonyesha ulevi ndio unaochangia maambukizi ya ukimwi kwa asilimia kubwa? Hapa naona jf ni kama inatumika kupotosha watu na ukweli. Ktk hili umehitimisha kijinga na kilevilevi zaidi!
 
Kama umegundua wanakuwa na mahusianio humo humo kanisani, na mara nyingi mahusiano hayo huishia kwenye ndoa.
Afu wanajitahidi kuona mapema, lakini wapiga mambo unamkuta mtu sura inajikunja bado anamalizia ujana ndo aoe.

Na wale ambao hawajaoa? Au ndio wanakulana na waimbaji kwaya?
 
Kama umegundua wanakuwa na mahusianio humo humo kanisani, na mara nyingi mahusiano hayo huishia kwenye ndoa.
Afu wanajitahidi kuona mapema, lakini wapiga mambo unamkuta mtu sura inajikunja bado anamalizia ujana ndo aoe.
Aise mi naona bila kunywa pombe mtu unaishia kuwa maskini. Ndio maana basi walokole wengi wamechoka. Dili nyingi zinapatikania kwenye pombe! Halafu unajiepusha na maradhi.
 
Hii kitu nimeanza sikia toka niko mdogo na nilikuwa na connect na baadhi ya mababa jirani zetu; pombe hawanywi lakini watoto kila mtaa.
 
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao
Na kina sisi tuliokuwa wanywaji halafu tukaacha? Ulevi noooma!
 
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao

Katika hili ni uongo mtupu na usiokuwa na ukweli wowote na pia inategemea mtu na mtu
 
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao
Napata shida mkuu jinsi gani ume conclude kwa kutumia sample ya watu wawili !!! then matokeo 80% ningetemea 0%, 50% au 100% , kifupi size ya sample ni ndogo sana kukupa picha halisi.
 
Kila mtu na starehe yake bana,kama bush mikasi ndio starehe zao ndio maana wanazaana sana.
 
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo sana, kwa ufupi mmoja ni jamaa yangu wa karibu sana na mwingine ni jirani yangu, niliwachukua kama sampo na kufanya uchunguzi matokeo ndiyo haya ya 80%.
Muda mwingi sana utawakuta kwenye viambazi au akiwa kituoni anasubiri basi ujichelewesha makusudi aone analegea ili aanze kuchat naye hadi wanabadiri njia na kwendaku-do.
Wenye mawazo zaidi watujuze ni kwa nini na kama wanapinga watoe changamoto zao

kwa dunia ya sasa binadamu lazima uwe na tabia mojawapo au zote kati ya hizi.
1. Mzinzi
2.Mlevi wa pombe
3.Mshirikina
4.Mbea(tupo wengi hapa.....jua haliwezi kutua bila kumsema mtu vibaya au vizuri.. Au kusimulia habari za watu live au kwa simu au kwa kuandika.......anayebishi aseme HAaa!!)
 
Wanywaji hawakosi sababu.
Niliwahi kaa mahali, pombe free
Hakuna aliyekubali kunywea home
Watu wote walikuwa wanatoroka kwenda bar
Si yale mambo yetu
Nayo ni pull factor.
Mara umecmtania, mhudumu hebu njoo hapa, akija "una mcho mazuri"
Anacheka tu anaondoka, afu ww unashushia na fundo huku ukimsindikiza kwa macho
Ina raha yake jamani

Hivi deals kuanzia asubuhi umekosa ofisini?
Hii huwa siinunui

Aise mi naona bila kunywa pombe mtu unaishia kuwa maskini. Ndio maana basi walokole wengi wamechoka. Dili nyingi zinapatikania kwenye pombe! Halafu unajiepusha na maradhi.
 
Ha ha ha ha, umenichekesha, kati ya vyooote hivyo vinatibika
Lakini umbea ni noma
Huwa unauma kama jipu
Huwezi vumilia kabisa
Hasa unapoambiwa ni SIRI
Bora akuache bila kusema ni siri, kidogo waweza vumilia.

kwa dunia ya sasa binadamu lazima uwe na tabia mojawapo au zote kati ya hizi.
1. Mzinzi
2.Mlevi wa pombe
3.Mshirikina
4.Mbea(tupo wengi hapa.....jua haliwezi kutua bila kumsema mtu vibaya au vizuri.. Au kusimulia habari za watu live au kwa simu au kwa kuandika.......anayebishi aseme HAaa!!)
 
Sasa mimi na rafiki zangu sita ambao wote ni madereva hatunywi pombe, na kati yetu ni mmoja tu ndiye anahusudu wanawake,. Sasa sijui utafiti wako wa watu wawili na sisi 6 kwa m1 upi ni wa maana?

Kwanza mimi najua nyie walevi ndio mkishapiga mambo yenu akili zinawahama, sehemu za siri zinachukua majukumu ya ubongo.
 
Mbona hujazungumzia wanywaji na mabaamedi maana afadhali wasiokunywa wanaweza kufanya choice ila wengi wanakunywa wakishalewa ndo hawachagui yeyote anayewakaribia anabebwa
 
duh hiyo sampling ni kwere, two individuals out of thousands in your street,is it a representative sample? thats a bias repeat your research braza kaka ndo utuletee jf!
 
Back
Top Bottom