Ni kweli kuwa Watanzania wengi hawafahamu matumizi ya smartphone kiasi cha bando kutafunwa bila kutambua?

Ni kweli kuwa Watanzania wengi hawafahamu matumizi ya smartphone kiasi cha bando kutafunwa bila kutambua?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi nyuma ya pazia kimyakimya?

Bando zinayeyuka kama barafu.
 
Unakuta play store kwenye lisimu la mtu apps zinajiupdate zenyewe yeye hakuseti. Hapo lazima bando lisepe.

Siku hizi nikicheki video moja tu xvideo bando limekata..
 
MBNA hio inajulikana smartphone yyte lazma uifanyie settings Unazotaka wew mwenyew Sasa watanzania wengi hawapendi kuumiza kichwa wajue ttzo Ni nn kwenye kumaliza bando n.k.

Wao wanakimbilia kulaumu mitandao ya simu which is wrong, Kuna watu unawawashia WiFi hotspot kwamfano na unamwekea limit za MB labda 100 na zinaisha within 5min yeye mwenyew anashangaa Kuja kuchunguza unakuta ameweka auto updates n.k kwa namna hii kilakukicha atailaumu mitandao ya simu na serikali.
 
TikTok, youtube, instagram hivyo vitu ni hatari sana kwa bando
Na kama umeruhusu app ya photos I upload outomatically
 
Apps nyingi zinatumia background data, japo sio sana unaweza set data isitumike mpaka pale utakapo ruhusu mwenyew kwenye app husika. Pia watu wengi hawajui maeneo mengi ya simu zao yaani mtu anaogopa anaweza bonyeza sehem akaharibu , so unakuta wanaishia maeneo muhimu tu ya kawaida.
 
Google photos ni janga na icloud storage.

Wengi washamba hapa, kuna kipigo cha kimya kimya smart sana.
 
Back
Top Bottom