Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi nyuma ya pazia kimyakimya?
MBNA hio inajulikana smartphone yyte lazma uifanyie settings Unazotaka wew mwenyew Sasa watanzania wengi hawapendi kuumiza kichwa wajue ttzo Ni nn kwenye kumaliza bando n.k.
Wao wanakimbilia kulaumu mitandao ya simu which is wrong, Kuna watu unawawashia WiFi hotspot kwamfano na unamwekea limit za MB labda 100 na zinaisha within 5min yeye mwenyew anashangaa Kuja kuchunguza unakuta ameweka auto updates n.k kwa namna hii kilakukicha atailaumu mitandao ya simu na serikali.
Apps nyingi zinatumia background data, japo sio sana unaweza set data isitumike mpaka pale utakapo ruhusu mwenyew kwenye app husika. Pia watu wengi hawajui maeneo mengi ya simu zao yaani mtu anaogopa anaweza bonyeza sehem akaharibu , so unakuta wanaishia maeneo muhimu tu ya kawaida.